Mapenzi yanaumiza sana moyo, jitahidi unapopendwa pendeka na heshimu hisia za mwenzako

life is not fair at all kikubwa ukipata nafasi ya kumuonesha mtu upendo fanya hivyo mpaka atakapoona yeye inatosha aidha kwa kusema yeye mwenyewe au kwa mienendo/tabia zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…