Hii kesi inaivua nguo Tume na Chebukati.Hawa Advocates aliyepita na huyu anaendelea sasa wanaweka mambo hadharaniYes atakaye shinda kwa halali ndiye anafaa kuwa rais lkn hii ngoma inaashiria uchaguzi utarudiwa
Mwenye haki yake apewe na siyo aporwe kwa janja janja ya Corrupt CommisionersNyamizi upo upande upi wa Ruto ama Raila?
Ni suala la muda tuu! Ngoma inarudiwa.Sioni Ruto akiruka hiki kiunzi.
Na mbaya zaidi aliwapa kazi zingine Ma Commisioner halafu akadelegate kazi ya kutally ma ofisa wa Tume ambayo si kazi yao.Chebukati siye IEBC.
Katiba inataka IEBC kujumlisha na kuthibitisha hesabu za kura,na sio mtu mmoja au wawili au watatu.
Ume exaggerate bro kule kuimba kwake alikuwa anawaboa majaji mpaka wamempa brotherly advice. Wabongo kama kawaida yetu huwa tunaangalia trivial issues pathetic. Somehow kuna point zimekuwa driven home.Ila Submission by Atieno Willis is superb, Raila should pay him additional fee. Mpaka ameimba, na Jasho lilikuwa linamtoka Mpaka amelowa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Anaongea kwa hasira hatari. Ila IEBC must respond, kuna hoja za msingi.
.
Otieno He was however bias, anataka kazi ifanyike na IEBC lakini mahakama iwashughulikie Chebukati, Molu na Guliye pekee.
.
Anasema for manipulating election. But I think he was bias. Huwezi mhukumu mwenyekiti pekee kwa finding za KPMG
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio vile....unatokea makaburi yepi ww hapa tzhii kesi inafanya tuonekane vile hatuna akili watanzania
yaani tume ya tz inaonekana ni takataka
wanasiasa wa tz ni nyang`au tu
wananchi n maiti zinazotembea
Sijapata nafasi kufuatilia kwenye runinga, hii uliyoandika ni kweli?.Hadi sasa Raila ameshinda kesi, tatika hatua ya kuhesabu kuna form 34A page ya matokeo haipo.
Mkuu Sasa mbona povu loote Hilo lakini?hii kesi inafanya tuonekane vile hatuna akili watanzania
yaani tume ya tz inaonekana ni takataka
wanasiasa wa tz ni nyang`au tu
wananchi n maiti zinazotembea
100%Sijapata nafasi kufuatilia kwenye runinga, hii uliyoandika ni kweli?.
Ni kweli kuna form moja haikuwa na matokeo kabisa ilikuwa emptySijapata nafasi kufuatilia kwenye runinga, hii uliyoandika ni kweli?.
mwangalie huyu jamaa wa mwisho anayeendeleaIla Submission by Atieno Willis is superb, Raila should pay him additional fee. Mpaka ameimba, na Jasho lilikuwa linamtoka Mpaka amelowa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
.
Anaongea kwa hasira hatari. Ila IEBC must respond, kuna hoja za msingi.
.
Otieno He was however bias, anataka kazi ifanyike na IEBC lakini mahakama iwashughulikie Chebukati, Molu na Guliye pekee.
.
Anasema for manipulating election. But I think he was bias. Huwezi mhukumu mwenyekiti pekee kwa finding za KPMG
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
aisee uchaguzi unaweza kurudiwa,spana zinazopigwa ni hatariSijapata nafasi kufuatilia kwenye runinga, hii uliyoandika ni kweli?.