Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wakenya wamekataa vurugu za lile lizee baaada ya kushtuka ni tapeliWakumbushe hao kuwa amani ya Kenya inamtegemea sana Raila kuliko mtu yeyote.
Jaluo ni kitu ingine kabisa wakiamuaga
Wapi wewe wakati huko anakotokea Odinga hakulalika? Walichoma matairi usiku kucha na BBC walikuwa wakirusha?Wakenya wamekataa vurugu za lile lizee baaada ya kushtuka ni tapeli
Alikuwa anasem Uhuru mwizi na watu wengi kuandamana na kuuliwa na kujeruhiwa kisha anakuja kushikana nae mkono na kumsifu. Conman
Huko kwa Waluo labda, ila kwingine hakuna mtu anayejali,Wapi wewe wakati huko anakotokea Odinga hakulalika? Walichoma matairi usiku kucha na BBC walikuwa wakirusha?
Odinga aliwatuliza kuwa wasifanye fujo ndipo utulivu ukarejea
Acha urongoMara hii wamekataa ujinga... unaenda kupigania mwanasiasa kisha baada ya muda wanaenda kushikana mkono na kupeana ulaji bila mabadiliko yoyote huku wewe umekufa au kujeruhiwa..!
Odinga alitaka kuleta vurugu kwa kuwaambia makamishna 4 wa IEBC wakatae matokeo kabla ya kutangazwa huku nchi ikiwa kwenye tension ilikuwa na nia ya kuleta vurugu kama Chebukati angemtangaza Ruto, ila hakuna aliyefanya huo ujinga
Walikuwa wamemtisha Chebukati eti akimtangaza Ruto nchi itateketea..!
Juzi tena akaita watu wakakeshe nje ya mahakama kwa siku 7 akaona mwitikio hasi akahairisha