Wewe ulikua unasema zitto ni msaliti na amelipwa na ccm. Sasa ndio unamkubali?siasa kwakweli ni kichaka cha vichaa.Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Nyongeza sio leo mkuu tusubiri kwanza aone amenunua wapinzani wote labda ndio atatuangalia lakini kwa sasa na kipindi chote ambacho upinzani utakuwepo ngoma itaendelea kuwa 0-0... Jitu la ajabu hiliMkuu tunadharirika kitaa ile heshima tuliokuwa nayo zamani kama watumishi wa umma haipo tena, tunaandamwa na madeni, afu viongozi wetu hataa hawajali, increment tu kuongeza imekuwa ni ngumu yaan, wengine hapa life yetu ni Mungu tuu pekee ndo anajua kwakweli.
Yaani huwezi amini duh!Alishasema tena bila aibu mbele ya raisi kuwa hata yeye anaweza kuwa C. C. M. Siku moja.. kama unakumbuka siku aliyomponda yule mkurugenzi
Haya mambo yanajulikana na haja kubwa kwa sasa ni katiba na tume huru ili kufanya political playground kuwa level. Hivi kweli unataka katika mazingira haya na wakati huu wafanye nini; unafikiri Chadema hawafahamu madhaifu ya chama na kile kinachoendelea katika zama hizi? Wanafahamu tu.Chadema hebu undeni tume huru ya ndani mpate chanzo halisi ya hali hii.
Hata kama wananunuliwa bado tatizo litabaki kwenye udhaifu wa chama. Kama mnanunulika kiasi hiki mnafikiri inaleta tafsiri gani? Hii inazidi kujenga taswira mbaya kwa wapinzani na msifikiri watakaochafuka ni wale wanaonunulika tu. Imagine hadi sasa wanachama na wadau wa maendeleo ya Chadema hadi sasa hawajui kesho atafata nani!!
Ubaya wa CCM si habari mpya kwa watanzania. Ni wakati wa Chadema kujipambanua na kutafuta namna ya kuweka sawa huu upepo.
Sio kila mtu ni mwanachama wa chama cha siasa,sasa chadema inaingiaje hapa.
Ongelea maslahi ya watumishi,je hakuna bajeti yake?
Hawezi kukujibu hili swali kwa ufasaha, yani kuna watu ni bure kabisa.
Keshafika bei huyo... Wacha aondoke
Kumbe mko sokoni kununuliwa duuuuuu
Haya mapovu mbona hukuyatoa kwa Nyarandu?Upumbavu tu na ushenzi kulitia taifa hasara kwa visingizio vya kuunga mkono juhudi za mtu fulani .
Wala sio kitendo cha ushujaa wala uzalendo ni kitendo cha kinafiki,kizandiki,kichawi,kihaini dhidi ya taifa letu.
Watu wako loyal zsidi kwa mtu kuliko taifa letu
Hizo gharama za uchaguzi wa marudio wanaliingiza taifa hasara masikini na watu wa vijijini wanataabika kwa kukosa huduma za msingi .
Huyu marwa usikute hats hilo jimbo lake sijui wilaya haijaunganishwa hata na barabara wala hakuna umeme wala maji
Si angengoja 2020 ahamie huko vizuri
Eeeh MUNGU tunusuru na kadhia hizi
Yupo wilfred lwakataleHivi Mkoa wa kagera Kuna mbunge wa upinzani wa chadema wa kuchaguliwa??
MBOSO ALIIMBAGA=NALEGEAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKOMbosso aliimba "Umenishika pabaya"... Hapa Mbowe kashikwa pabaya ha ha haaa
Okay! Huyu namuona anaenda upande wa pili ! Muda utaongea tuYupo wilfred lwakatale
Nimekumbuka hii kauli.Nilimsikia siku ile kwenye mkutano Wa Magu akisema msinizomee na Mimi naweza kuwa mwanaccm
Una maana chadema imemtenda?Nimeiangalia clip kwa jicho la 3, kwa mtazamo wangu kuna kitu huyu baba kafanyiwa, manake haongei akiwa na mashamu shamu au furaha moyoni mwake ninaloona ana huzuni, lazma kunankitu tu sio bure, muda utasema