Lete risiti ya hayo manunuzi tuone.
Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Wapi nimedai kuwa zimeibwa?Lete Risiti ya Matumizi ya 1.5 Trillion zetu zilizo ibwa
Acha uongo wewe, ubavu wa kumfukuza hawanaHaikawii kuambiwa amenunuliwa na tulimuona siku nyingi nyendo zake za kutaka kutusaliti kamati kuu ilikaa na kumuandia barua ya kujieleza lkn kabla ya kumfukuza kaamua kuondoka.
Hiki ndio kipaumbele cha CCM.Hii ni mipango ya kuwa na bunge la chama kimoja ccm, bunge ambalo bw mkubwa ataliweka mfukoni bila upinzani wwte na baada ya hapo atapeleka muswada bungeni wa kuongeza urais na ubunge uwe miaka saba baada ya hapo watarekebisha tena kuondoa ukomo wa uraisi. Haya ni maandalizi.Jamaa kagundua kua hata uchaguzi ukiitishwa Chadema watasusia atapita bila kupingwa.
Tubadili katiba, kama mtu anataka kuhama chama ahame bila kutuingiza kwenye hasara za uchaguzi.
Nchi hii bado masikini, vipaumbele ni vingi sana, pesa iende kwenye mambo ya msingi na sio kila siku ni uchaguzi.
By t way kuna majimbo zaidi ya 150 ya yanayoongozwa na ccm toka 2015, wabunge wake wanaunga mkono CCM since then, sioni tofauti yake ya maisha na majimbo yasiyo ya CCM. Kuunga mkono au kutounga sijaona tofauti.
Tufanye wabunge wote wa upinzani waunge mkono jitihada za rais, je itabadili hali yetu ya maisha na kua mazuri zaidi, Tanzania itaanza kutiririka maziwa na asali? Kwamba kutokuunga mkono ndio kunazuia hayo?
Mwalimu alipambana na matatizo kama ujinga, maradhi, nk lakini hili la ujinga bado ni tatizo. Mtu anasema akiunga mkono analeta maendeleo, mbona maendeleo hayapo kwenye wabunge ambao ni wa ccm toka 2015?
Wanaume hawa muulize Iddi Amini.Akina Chacha hovyo kabisa
H
Aya yote unaongea kujifariji..ukweli unaujua..hivi watoti wa mwenye nyumba na watoto wa mpangaji nani ana uhuru kwa baba mwenye nyumba..?? Je watoto wa mpangaji wana haki sawa sawa na watoto wa mwenye nyumba..?? Baki na ukweli kwa moyo wako.
Mkuu baada ya hii sarakasi kuisha yatatokea yafuatayo:Hizi zama zitapita na huu ujinga utapita tu.
Hoja ya Zitto kuhusu kile kifungu inazidi kupata nguvu kadri siku zinavyokwenda.
Kamwe hamtakuja kuniona namuunga mkono huyu mtu maana ni sawa na mhujumu uchumi.
Nimesema demokrasia ina gharama kiasi ambacho tumeshindwa kuwaokoa watu karibu 300 waliozama kwenye kivuko kwa kukosa vifaa vya uokozi ambavyo pia vina gharama. Maana yake ni kuwa gharama ya demokrasia ni ya muhimu kuliko ya kuwahudumia wananchi wetuMkuu mbona nimechangia kwa kiswahili alafu wewe umenijibu kwakidhungu? Naona mapichapicha tu, naomba nifafanulie kiongozi. Tafadhari
Huu moshi unafuka huko ndani kunani,inabidi tujiulze kwanini unabaki na wajukuu huku watoto wakikutoroka.Kila la heri na safari njema .
Mkuu unaonaje tukiachana kabisa na mambo ya uchaguzi ili kukwepa gharama, je unadhani wanademocrasia watakubali?Nimesema demokrasia ina gharama kiasi ambacho tumeshindwa kuwaokoa watu karibu 300 waliozama kwenye kivuko kwa kukosa vifaa vya uokozi ambavyo pia vina gharama. Maana yake ni kuwa gharama ya demokrasia ni ya muhimu kuliko ya kuwahudumia wananchi wetu