Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Unakuwaje wakili halafu unavunja sheria.
Kabisa mkuu,, mwanamke ni wa kupuuza na kuangalia maisha yako,,
There are so many fish waiting for someone to fish them at sea...
Kwann upigane?
Changamoto ya kukosa wa kusikiliza upande wa pili ndo hii hadi watu wanajiamlia mambo tu. Ogopa mtu mkikwaruzana mkafika hata dawati la jinsia, mbaya anakuwa ni wa jinsia moja tu.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Keneth anadaiwa kumshambulia Magreth kwa kumpiga kichwani kwa kutumia kitu butu, kabla ya kumchoma kwa kitu chenye ncha kali katika maeneo mbalimbali ya mwili.
Jeshi hilo limesema Magreth alipoteza maisha kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, baada ya Keneth kupata taarifa kuwa mpenzi wake alikuwa akimsaliti kwa kuwaingiza wanaume wengine ndani ya nyumba wakati yeye akiwa hayupo.
Kwa wazungumzaji wa Kiingereza
Police in Mara Region are holding lawyer Keneth Nkiko, 28, over the alleged killing of Magreth Richard, 22, a trader and resident of Musoma Municipality.
Mara Regional Police Commander Pius Lutumo said the incident occurred at around 4am on Monday, October 5, 2026, in Mwigobero Street, Musoma Municipality.
According to Commander Lutumo, Nkiko, who provided legal assistance to victims of gender-based violence, is alleged to have attacked Ms Richard, who was his girlfriend, hitting her on the head with a blunt object before stabbing her several times.
“She was hit on the head with a blunt object and then stabbed with a sharp object, causing multiple injuries. She lost a lot of blood and died at the scene,” Commander Lutumo said.
He said preliminary investigations indicated that jealousy may have been the motive, with the suspect allegedly accusing Ms Richard of having relationships with other men.
Commander Lutumo said police were continuing with investigations into the incident.
Naam; kuelekea Xmas na mwaka mpya tuanze upya!Msimu wa mauaji ya wapenzi😁
Ni nature; so automatic kama ambavyo ukimtazama maumbile yanasimama!Bado wanaume wanapiga mwanamke?
Aisee!!
Hii ya Mara haita-trend I tell you.Mara 1: kilimanjaro 1 (full time)
Kumbe Diana kauwawa? I didn't know that. Nimeona classmates wake wanasikitika sikujua ameuwawa kumbe. Lakini mbona nimeona texts zake za mwisho, au alijeruhiwa kisha akafia hospitalini.Achana na mwanasheria kuna mwingine huku kutoka kigamboniView attachment 3685245View attachment 3685246
Uko lile uno ukilikimbuka unasema daaah lazima nilifiatie teena ukienda hakupiii teena hapo chacha.Wanaume mnalemewa na wivu kwa kulewa mapenzi, mnaua mno sjui ni stress au ukosefu wa pesa hata sielewi!
Upo J, miss you,Haya matukio yanazidi kila kukicha, Duh
Vijana wengi hakuna nguvu za kiume, at the age of 28 wengi ni mapovu tu na wanaumia "vumbi la Congo", mikongoraa, na enrgy drink lakini raundi moja hawamalizi.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi.
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi mkoani humo, Keneth anadaiwa kumshambulia Magreth kwa kumpiga kichwani kwa kutumia kitu butu, kabla ya kumchoma kwa kitu chenye ncha kali katika maeneo mbalimbali ya mwili.
Jeshi hilo limesema Magreth alipoteza maisha kutokana na majeraha aliyoyapata katika tukio hilo.
Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, baada ya Keneth kupata taarifa kuwa mpenzi wake alikuwa akimsaliti kwa kuwaingiza wanaume wengine ndani ya nyumba wakati yeye akiwa hayupo.
Kwa wazungumzaji wa Kiingereza
Police in Mara Region are holding lawyer Keneth Nkiko, 28, over the alleged killing of Magreth Richard, 22, a trader and resident of Musoma Municipality.
Mara Regional Police Commander Pius Lutumo said the incident occurred at around 4am on Monday, October 5, 2026, in Mwigobero Street, Musoma Municipality.
According to Commander Lutumo, Nkiko, who provided legal assistance to victims of gender-based violence, is alleged to have attacked Ms Richard, who was his girlfriend, hitting her on the head with a blunt object before stabbing her several times.
“She was hit on the head with a blunt object and then stabbed with a sharp object, causing multiple injuries. She lost a lot of blood and died at the scene,” Commander Lutumo said.
He said preliminary investigations indicated that jealousy may have been the motive, with the suspect allegedly accusing Ms Richard of having relationships with other men.
Commander Lutumo said police were continuing with investigations into the incident.
Why johHii ya Mara haita-trend I tell you.
Naomba picha ya mwanamke mwenye "muonekano wa kawaida",Kuna umuhimu wa kudate/kuoa wanawake wenye muonekano wa kawaida badala ya hawa ndugu zetu wanaojiona wana options nyingi kwenye maisha.
Nimekumbuka ile ya mtsngazaji wa ITV, Ufoo saro, mumewe katoka kwenye mission huko Congo, kumbe mama la mama, mali kaweka jina lake, mwamba alitembeza risasi kibao, kwa mama more, na mke wake, ila walijeruhiwa, tu, mwamba anajua ameua, akajichapa risasiMsimu wa mauaji ya wapenzi😁
Alikuibia au ulimpa mwenyewe 😂 ?Kuna kenge ilikula ada yangu ya chuo,, sijui inakatia mauno wapi siku hizi...
Hapo usikute unailipia kodi pia halafu inataka na ada juu. 🤗Kuna kenge ilikuwa inanikonvinsi niisaidie ada (Tsh. 3,210,000/yr) kwa miaka mitatu. Nimegoma sasa eti imenila bloku. Orientation chuoni nadhani ni wiki ijayo. Good riddance! 🚮🚮🚮
Hii sura mbona imetofautiana na ile ya awali?Achana na mwanasheria kuna mwingine huku kutoka kigamboniView attachment 3685245View attachment 3685246