Hata simfahamu, nimeona status nikaona nishee kama whistleblower tu, pole kwa mlioguswa na kifo chake.🙁Kumbe Diana kauwawa? I didn't know that. Nimeona classmates wake wanasikitika sikujua ameuwawa kumbe. Lakini mbona nimeona texts zake za mwisho, au alijeruhiwa kisha akafia hospitalini.
Hahaha ukinyimwa unapiga chuma!🤭Uko lile uno ukilikimbuka unasema daaah lazima nilifiatie teena ukienda hakupiii teena hapo chacha.
Siungi mkono hoja. Kuna watu ingawa ni wachache wanastahili kuoa/kuolewa!.
Sura ya awali iko wapi tulinganishe..Hii sura mbona imetofautiana na ile ya awali?
Sura ya awali iko wapi tulinganishe..
Nyie ndio mnaoponza wadogo zenu hayo majibu ni ya wazee kijana anae jielewa huwezi mjibu hivo ni shabaaaaaAlikuibia au ulimpa mwenyewe 😂 ?
Huna hoja dawa ni Moja tu hujamuelewa mwana huna taimu nae, stop vitu vyake usile usichukue chochote mwambie noooUkiwa na mwanamke usiweke sana akili na nguvu zako kwake. Utaishia kujiumiza au kuumiza. Huyo manzi ni kisu ile laana kwahiyo kutongozwa ni sehemu ya maisha yake. Utafiti unasema demu hawezi kukaza kwa wanaume zaidi ya watatu mfululizo.
Sio muuaji ana tetea jasho lake,Hata mimi nikikutumia passport na picha yangu hazifanani, kijana mdogo halafu mzuri kweli kawa muuaji!
Wisle
Eti eeh!Hata mimi nikikutumia passport na picha yangu hazifanani, kijana mdogo halafu mzuri kweli kawa muuaji!
Wisle
Hata wewe utakuja kuuwawa na bwana wako unatembea na mzee ya chama cha kijaniok.
R.I.P Magreth Hamisi Richard
🤣🤣🤣🤣🤣Bado hamjasemaBora we adaa m ilikuwa inakula boom yanguu Bwasheeeeeee
Ndio maana namin mbinguniwanaume n wengi kuliko hawa ...
Yaan nasotaaa wali maharage palee udsm manzese rest lenyewe linakula chips mwisho nashtuka aisee mwaka wamwisho loh
sawa chukua somo uka practiceSio muuaji ana tetea jasho lake,
Tujifunze sana kuhimili mambo wakuu..Eti eeh!
Kijana kashindwa kudhibiti hasira.
Usiniogope sasa, nakutania tu endelea kunifikiria basi♥️♥️♥️sawa chukua somo uka practice
Kamrudishie basi gharama zakeEti eeh!
Kijana kashindwa kudhibiti hasira.