Mara yako ya kwanza kushika zaidi ya TSh bilioni 1 ilikuwaje?

unajiskia tu kushiba hata kama una njaa na kiu, halafu unaona tu kama nusu ya dunia ni yako na unaweza kufanya chochote na hata mtu akikugongea mlango ofisini kwako yaani unaona kumuitikia sio wajibu wako n.k

siku zingine hua najiuliza huenda hali hiyo ndio hufanya wenye ukwasi zaidi ku r.i.p katika mazingira rahisi na mepesi mno.

Yaani unajikuta unaugua wewe lakini kwakua una ukwasi unatamani mtu mwingine ndio aelezee kinachokusumbua kwa daktari na sio ww mwenyewe.๐Ÿ’
 
Lete past papers watu tusiliwe bwana, au unapenda dadaako niwe shamba darasa?
Kila mtu ataliwa, n suala la muda tuu.
Past papers zipo Ila Ndo hvy nisijidai mfatiliaji wa mambo ya watu ๐Ÿ˜Ž
 
Nimekuelewa sana
 
Mimi ninazo nne ila hazipatikani zote๐Ÿ˜‚
Mm mpaka kuna watu walikuwa wananishangaa inakuaje nna lain moja tuu, Ila ndo hvy sina sababu inayonifanya niwe na lain mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ