Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE

Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===

Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya Kikwete,wameongozana na mawaziri wakuu wastaafu Cleopa Msuya, John Malecela na Mizengo Pinda kutembelea utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere.

1625494847165.png

PICHA: Marais Wastaafu Mzee Kikwete upande wa kulia na Mzee Mwinyi kushoto

1625494878672.png

PICHA: Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda

1625494907303.png
 
Watanzania wasiposimlia mambo makubwa aliyoyafanya JPM kwenye nchi yake na kwa Watanzania, Aridhi itasema, mito itasema, anga litasimulia, maziwa yataisimulia kwamba huyu mtu hakuwa mtu wa mchezomchezo.

R.I.P JPM
 
Wapi Warioba, Sumaye, na Lowassa. Salim tunajua hali yake ya kiafya siyo nzuri
 
Bwawa = Tsh 7 trilioni
Bagamoyo = Tsh 23 trilioni

Wanasema,
Daraja kigamboni = Tsh 160 bilioni(Nasikia wakapinga kuwa ni kubwa, wakatawanywa)
Daraja kigamboni = Tsh 260 bilioni ikatumika, wenye wizara wakarudishwa, nasikia.

ESCROW ni pesa za nani, wakasubiri jibu akitua.
Akatoa elimu ya tezi dume na kusema, upepo mbaya, utapita.

Wakatoka bungeni, tukapitisha ile hati ya dharula usiku, na sasa tunaandaa port ya kuuzia mali ile.

Mkwere katika ubora wake wa kuhamisha goli.
 
Wapi Warioba, Sumaye, na Lowassa. Salim tunajua hali yake ya kiafya siyo nzuri

hao walileta ujuaji na kuanzisha vita na mtoto wa mjini, akawatawanya vibaya...hawaonekani tena mjini wamemuachia Mzee wa saigon mji..
 
Back
Top Bottom