Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Deception plan...kupunguza minong'onoBaadae wataenda kuangalia maeneo yanayopendekezwa kujenga Bandari huko Bagamoyo 😂😂
Mnajua kujipa moyo.Deception plan...kupunguza minong'ono
JK mtoto wa mjini
Waswahili bhana....yaani Wote wamemwaga Sifa zinazofanana ila Wewe uliyemuona sana ni huyu Kikwete wako tu?Kikwete amwaga sifa.
Youtube link (wa free basic haiwahusu).
Meko ameacha pia legacy ya kuteka na kupiga risasi wapinzani wake..Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE..
Siku hizi ndio mnasema anaupiga mwingi😄Deception plan...kupunguza minong'ono
JK mtoto wa mjini
Alitoa hela yake mfukoni?Watanzania wasiposimlia mambo makubwa aliyoyafanya JPM kwenye nchi yake na kwa Watanzania, Aridhi itasema, mito itasema, anga litasimulia, maziwa yataisimulia kwamba huyu mtu hakuwa mtu wa mchezomchezo,
R.I.P JPM
Hahahaha... tuombe uhai...utajutaMnajua kujipa moyo.
Sumaye huenda bado haamini mtikisiko uliomkumba. Mwenzake kaondoa maumivu kwa kujiliwaza na 'John Walker' na kusahau yaliyopita.Wapi Warioba, Sumaye, na Lowassa. Salim tunajua hali yake ya kiafya siyo nzuri
Wapi Warioba, Sumaye, na Lowassa. Salim tunajua hali yake ya kiafya siyo nzuri