Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

Mwanaume mwenye akili akishaona kwenye ndoa kuna dalili za sintofahamu
"Mwanamke akimfanyia provocation hajibu kila neno,
Na wala hatoshindana na mke/mwanamke kwa kutumia nguvu
Atatumia akili +busara + subra...
(All in all ukweli uongomvi chanzo wanaujua wenyewe)

Ova
 
Hapo wamewahiana Tu lakini hata huyo Mke angemuua.

Kibongo bongo mtu mwenye Uwezo wa kumiliki Bunduki ni mtu mwenye ukwasi au mtu wa system au mtu wa wasiojulikana ambaye hata serikali haikupi, yayumukinika ni mtu mwenye pesa
Ondoa fikra mfu mkuu sila watu tunazo na hatuna chochochote cha maana 🤣 watu kibao wanamiliki silaha na hajawahi kushika hata milion 200
 
Hakuna hati ya Kimora Dar es Salaam wewe.Kuna sehem utasikia alikua anatafuta mwenyekiti serikali za mitaa andike majina yake na watoto na yeye.
Maelezo ya chini ndio msingi wa hoja yangu, unless unawafahamu hao watu inperson sote tunafanya speculation.

Kwamba inawezekana hati ya kimila/barua ya mauziano ikawa na jina lako katika kutafuta hati ya nyumba (tukasajili hati kwa majina ya mkeo) Haya mambo yote yanawezekana, majibu yangu yanajibu swali lako kuwa ilikuwaje mwanzo majina ya huyo mke yasiwepo baadae ayatake yawepo ikiwa kiwanja kilikuwa chake/cha familia yake na si cha kweka?

Pili hamna popote ambapo nimekataa uhusika wa kweka katika hiyo nyumba, inawezekana wamejenga wote au hata amejenga mwenyewe kama baba wa familia na ndio ikajustify majina yake kuwepo katika hati. Entirely asingeweza kuweka majina yake kama mke amesimamia show 100% lakini hiyo haiondoi possibility kiwanja kilikuwa cha KE.

Na ndio maana watu wanasisitiza hapa kuwa ni mtego mbaya kujenga katika kiwanja cha KE. Au KE kujenga katika kiwanja cha ME (ambapo huwa haitokei mara nyingi)
 
Toa neno hati ya manunuzi, weka neno mkataba wa manunuzi.

Unaweza kununua wewe lakini jina ukaamua liwekwe la mwenza wako au yawekwe yote mawili la kwako na mwenza wako
 
Hamtaachana bana.
 
Ukinunua kiwanja jina linaandikwa lako kwenye hati ya manunuzi,Why hakuandika jina lake? Mwanamke muongo huyu
Neno hati ya manunuzi umelikariri sana. Badala ya hati ya manunuzi sema mkataba wa manunuzi

Sio lazima jina liandikwe lako hata kama wewe ndio umenunua, jina litaandikwa lile unalotaka, unaweza kumuweka hata mchepuko wako
 
Alinunua alitoa wapi fedha ndani ya ndoa na kuweza kununua yeye mwenyewe bila mume wake? Au alikuwa Anadanga?
Dada aliyeuliwa ana elimu yake ana kazi yake.
Cha ajabu ni Nini mwanamke kuhangaika kutafuta pesa afanye maendeleo akiwa kaolewa?..hujawahi kuona?

Kuna wanawake wameolewa wanajenga nyumba zao,wanananunua magari,wanafungia biashara nk
 
Kawaida make huzikwa Kwa mume. Lakini Mimi nikiwa baba wa Binti( mke), mazingira ya kifo cha risasi Bora mke azikwe kwao
 
Amejisalimisha! Ila madhara ya kesi ya mauji hayajui!
Hapo hana tena nyumba,ni maskini kuliko wasio na nyumba,watoto ni yatima sasa! Akirudi kutoka magereza ni mwaka 2050 hana meno wala haoni
Kuna mtu hajui MADHARA ya kesi ya kuua kwa mtu anae jitambua kama huyo? Hujaingia kwenye ndoa tulia kijana ulikua utaelewaa Kuna muda nisha wahi mpiga wangu lakini mi sio mtu wa kupiga wake ilinibidi TU nifanye hivo
 
Bado mtoto subiri ukue eti, mpaka jina la hati linaandikwa ye alikua wapi? Safari I au
 
Umemkosoa huyo ikiwa wewe mwenyewe umeandika usichojua
Sio hati ya manunuzi bali mkataba wa manunuzi.

Pia serikali ya mtaa haichukui asilimia yoyote. Kama huwa unaambiwa utoe asilimia 10 hiyo umetapeliwa

Hakuna risiti yoyote serikali ya mtaa inayotoa ya hiyo asilimia 10 acha kutoa tasrifa za uongo.

Serikali ya mtaa haihusiki na kuandika mkataba wowote wa mauziano wa kiwanja, serikali ya mtaa ni shuhuda tu. Mkataba huandikwa kwa mwanasheria/wakili, ndio huo utakaokusaidia kwenda kufanya transfer halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…