Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati


 
Kama Jane alitaka jina lake liwe kwenye hati ina maana alikuwa hamwamini mume wake waliyezaa naye watoto wanne! Alitaka jina lake litokee kwenye hati ili iweje!? Kiafrika watoto wanarithi mali ya baba. Kutaka jina lake liwe kwenye hati maana yake alitaka watoto wao waje wapate hiyo mali kama hisani na sio kisheria. Waafrika tunarithi majina ya ukoo yanayotoka kwa baba, hata mirathi tunagawana ya baba, mali ya mama inakuwa ni kwa hisahi tu ndio maana kwenye issue ya mali watoto wanauwezo wa kula sahani moja na akina shangazi au ba mdogo/mkubwa lakini sio akina mjomba.
Kwa mawazo aliyokuwa nayo Jane alitakiwa atoke kwanza kwenye ndoa na kuanza kudai hiyo hati ibadilishwe jina. Wahenga wenye busara wanasema mwanamke aliye kwenye ndoa akitaka kudai au kumshitaki mumewe kuhusu mali waliyonayo inabidi atoke kwanza kwenye ndoa ndo aanzishe hayo madai. Anatakiwa akomae na hayo madai akitokea kwao, kwa wazazi wake au kwake ndo anaanza kupress madai. Mke akisha kula kiapo cha ndoa maana yake anakuwa sehemu ya familia. Hawezi kuanza kudai umiliki wake ndani ya ndoa wakati alitolewa mahali kuolewa. Jane alifanya vibaya kuraise hayo madai akiwa ndani ya ndoa ingawa hakustahili kupigwa shaba.
 
Sema wanawake bwana mda mwingine wanatuvuruga sana, yaani wamehamia kwenye nyumba mwaka jana tu disemba hata mwaka hawajamaliza ila tayari mwanamke anataka hati ya nyumba na kiwanja majina yabadilishwe yaandikwe yake. So sad
Janamke lilikuwa na tamaa sana Daaahhh!!
 
Dah Kwahiyo alifika polisi akasema jamani nimetoka kumuua mke wangu. Mungu amuweke mahala pema huyo mwanamke.
Nimeishamaliza KAZI,polisi wa zamu: KAZI Gani?
Mwamba: si yule mwanamke aliyekuja kunishtaki.
Polisi: umemfanyaje?
Mwamba :Nimemfumua ya kichwa.
Polisi. Umemfumua na ngumu?
Mwamba:Ngumi! Eehe,chezea hii( anamuonesha bastla)
Polisi:Samahani,naomba uiweke hapa mezani(anaiweka)
Polisi anatoka gloves kwenye draw halafu anamuita mwenzake potiii,potiii.Anavaa gloves haraka haka na kumtoa Ile silaha mezani kisha anamrudia Mwamba.
Polisi:Rafiki hebu kaa kwanza.
Mwamba:Nakaa lakini nshakwambia ,nimemaliza KAZI,nendeni nyumbani mkamchkue mtu wenu.
 
Inasikitisha sanaa
 
Duh

Ova
 
Kama yeye ndo alinunua kwanini hakuweka majina yake toka mwanzo?
Kuna mmoja yeye alinunua kwa garama yake, hati kaandika mista & mrs.....sahivi jamaa anazngua hata ada halipi kwa watoto wake wa ndoa....yuko bize na michepukoo....mwanamke ndio kama anajilaumu alichofanya, bora abadili hata aandike jina la mtoto wake tu mana jamaa ni mtoto wa mjini alafu ana watoto wengine nje ya ndoa yake.....huyu mwanamke yeye alikolea penzi likamsahaulisha tabia za huyu mume aliemuoa.....
 
Uyo jamaa jau sana, sio mwanaume anayejitambua, hawajui wanawake wapo kama watoto, watu wakubadilika muda wowote, kama mali inabaki kwa wanawe shida iko wapi? Jinsia KE kuishi nao kwa kuwabembeleza hawa ni watoto.
 
Aisee
 

Attachments

  • Screenshot_20261004_234415_Instagram.jpg
    229.6 KB · Views: 10

Ni bahati mbaya sana Mume hakupata ushauri wa jinsi nzuri ya kumaliza hilo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…