Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Kwa ujumla unatuambia nini?Umesema ni kweli sjali ilitokea. Kisha tena ukasema hujui kama ajali uliyoona ndio hiyo au sio. sasa unahakika mheshimiwa alipata ajali au huna uhakika?
 
Mb
Unataka ndungai aseme nditie ameugua gafla amfurahishe mbowe na chama chake.

Umesahahu vita ya ndungai na mbowe last year.

Huu ni uongo wa mchana kabisa.
Mbowe na ndugayi wanaingiaje kwny hii mada?
 
Mkuu ujanielewa? Mimi sikwenda kuchunguza nani alikua ndani ila niliona magari yaliyopata ajali na pia taarifa iliyotolewa na Mh spika leo nikahusianisha na ajali ndo maana nikasema sina uhakika kama ndo alikua Mh mbunge au la
Kwa ujumla unatuambia nini?Umesema ni kweli sjali ilitokea. Kisha tena ukasema hujui kama ajali uliyoona ndio hiyo au sio. sasa unahakika mheshimiwa alipata ajali au huna uhakika?
 
haya majamaa tukiyaita mataahira yanakasirika.

yaani ni tabu.
 
Mkuu ujanielewa? Mimi sikwenda kuchunguza nani alikua ndani ila niliona magari yaliyopata ajali na pia taarifa iliyotolewa na Mh spika leo nikahusianisha na ajali ndo maana nikasema sina uhakika kama ndo alikua Mh mbunge au la
Asante nimekusoma.
 
V8 hatujaliona aisee
 
Sasa kama hukujua kama hiyo ndio ilikuwa ajali, sasa hivi umejuaje?
 
Ni kweli alipata ajali. Mke wangu yuko kundi moja WhatsApp na mke wa Marehemu Nditiye na waliosoma wote shuke fulani hivi. Na aliwajulisha kuwa mume alipata ajali mbaya na alikuwa amelazwa ICU.

Hivyo tuwe waungwana siyo kila kifo ni Covid19. Yaani kama vile mnaipenda sana. Yaani kwanza ni afadhali usipende kuitajataja. Isikie kwa jina tu ila kivitende hujui itakuchakazaje.
 
Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
We hukusikia kama alipata ajali
 
Mbona hivyo lakini? Sio wajinga sana? Alisema hivyo kuhusu utekaji wa Mo Dewji. Kuthibitisha tu wajinga wa kutupwa hilo suala lipo bado au liliisha?
Vile umesema alikuwa naibu waziri? Unauliza mpaka mishipa ya damu pamoja na ya fahamu inakutoka! Vile waweza niambia Rais mstaafu Mkapa alifia katika hospitali gani? Samahani sana lakini. Wanaojulikana wasiojulikana. Vifo vinajulikana visivyojulikana. Watz ni mabwe(..)pande!
 
Sasa kama hukujua kama hiyo ndio ilikuwa ajali, sasa hivi umejuaje?
Nimejua baada ya taarifa ya leo kutoka kwa spika mkuu na eneo alilosema ajali imetokea, iyo kusema sijui ni tatizo la kupumua labda lilitokana na complication za ajali na sio vinginevyo.
 
Jiwe kaagiza chanjo kaitumia yeye na watu wake wa karibu halafu anaacha wengine wafe , hata ibilisi ana nafuu .
 
Ewe bwege wa nchi gani wewe? Mibandiko yako miherufi mikubwa. Hujajifunza herufi ndogo? Umekazana ni kwa faida gani serkali idanganye. Serkali ipi? Kumbuka kisa cha kifo cha Balali. Rais alisema alizikwa Marekani. Aliyekuwa PM wake baada ya miaka kadhaa kasema atamleta mzima. Awamu ya mbayuwayu kisanga. Unashangaa ya kunguru. Una shiiida sana. Sirikali si uongo.
 
Duh, pole yake. ila nadhani alikuwa anatafutwa siku nyingi, maana mwaka 2018 pia alishawahi kupata ajali akanusurika.
Wewe ni hatari! Sio kila akukaribishaye chakula anataka ule. Hamani alialikwa kwenye karamu ya Malkia Esther. Asomaye na aelewe!
 
Kwa hiyo Balali ulimuona tupe picha yake ndiyo maana nasema ujinga muache maneno ya kwenye Kahawa unaleta kwenye mambo muhimu eleza vizuri Balali yuko kwako au?
 
nenda Kamuulize atakujibu tu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…