Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

Kuna watu wamekuwa disappointed baada kusikia ni kifo cha ajali..........what a world we are living.......

Tumetengeneza ajali kuwa ni sababu. Bila shaka sasa tunatengeneza picha za ajali kabisa ili kuukata mzizi wa fitna.

Kwa hapo sisi na genge letu tuko vizuti. Tunajiona wajanja kweri kweri na eti kwa sababu hiyo tunapongezana.

Tutegemee kusikika habari zaidi za ajali kwenye vifo hivi vya ghafla.

What a world are we living in ..... ?
 
Hali ya corona ni mbaya.....lakini wanaopaza sauti wametanguliza maslahi ya kisiasa........badala yake badala ya kuomboleza wanafurahia vifo vya wapendwa wakidhani wanaikomoa serikali ambayo imeshatuacha kwenye mataa.......

Mkuu unachukuliaje serikali inapogeuza taarifa ya kifo cha ugonjwa (ukweli) na kutolewa kama kifo cha ajali (uongo)?

Kukaa kimya na kuomboleza hivyohivyo ni kukubaliana na serikali na kufanya mambo yaonekane shwari.

Je, kukataa na kudai taarifa ya kweli ndio “kufurahia kifo” na “kuikomoa serikali”? Binafsi naona ni msiba mkubwa zaidi tunapoona kifo cha ugonjwa (au vyovyote vile) kuwa aibu yetu inayostahili kufichwa!
 
Chanzo rasmi kinasema ajari hainabudi sisi kukubali hata ukuhoji it won't change anything
 
Ni Kweli Mh. Nditiye alipata Ajali Afajiri maeneo ya 88 Nzuguni. Ajali imehusisha gari 3 na Pikipiki moja. Inavyoonekana Audi ambayo Mh. Nditiye alikuwepo ilikuwa inageuza u turn, Coaster ikaigonga ubavuni, then Audi ikaenda kugonga Voxy na Pikipiki. Gari zote zilikuwa Cetral Police, ila nafikiri hawakujua mapema kwamba mwenye Audi Black ni Mh. Nditiye. Apumzike kwa amani.
 
Ni Kweli ajali ilitokea Alfajiri ilihusisha Audi black, Coaster, Toyota Voxy na Pikipiki, chanzo ni Audi ambayo Mh. Nditiye alikuwemo, gari zote zipo Central Police. I think hawakujua ni Mh. Nditiye hadi taarifa za Msiba wake zilipotolewa.
 
Maelezo yako ktk aya ya kwanza ni mazuri. Reaction ya wengi hapa jukwaani inaonyesha hawana imani namamlaka iliyotoa taarifa ya ajali.
Hii inatokana na mamlaka hiyo na nyingine kuwa waongo waongo nakukosa uwajibikaji ktk masuala mbslmbali.
Mfano ni suala la covid19. Tunajua(by dimple reasoning) ugonjwa upo Tz. Lakini viongozi wetu wanatoa kauli zinazokinzana kuhusu hili janga. Serikali yetu haishirikiani na majirani kudhibiti ugonjwa huu, na hata inabeza hadharani juhudi za WHO.Utasikia 'Tanzania tumeishinda covid-19 kutokana na juhudi za mh. rais!' 'Tz hakuna corona', 'wananchi pigeni nyungu' nk.
Lakini watu wanaendelea kufa kwa dalili za corona, ila vyanzo/sababu halisi za vifo hazitajwi, mara pneumonia, mara changamoto za upumuaji.
Changamoto za upumuaji ndio ugonjwa gani?
Kwanini vipimo vya corona havifanywi? Kwanini takwimu hazitolewi kama nchi nyingine?
 
maneno mengi ya nini. wapi na lini
 
Wakuu mbona ajali siku hizi ni nyingi tu, zipo na zile za guest house, tusisahau sana
 
Mimi sikuelewi unataka kusema nini mkuu!
.
Mambo mengine hebu tuwe tunajaribu kupuuzia tu jamani, sio kila jambo tulitafutie kasoro. Watu makini hawawi namna hii [emoji1666]
Nikiwaita wapuuzi hawa nanuniwa, upinzani hauwi hivyo
 
Kama imetokea mida ya usiku sio kitu cha ajabu watu kutojua. Unless kama alikuwa na gari yenye nembo lakini mawaziri hawana alama usoni kwamba ukimuona tu utamjua. Inawezekana kabisa watu walifika wakapeleka hospitali bila hata kujua ni nani.

Sema kiongozi kupata ajali halafu mpaka anafariki nchi haijui naona sio sawa.
 
Mbona wanateseka, au wanajiona so special for death, supika angakuwa ndo ziraeli tungekoma.
 
Haaaa... Yani spika adanganye kwamba alikufa kwa ajali?

Na nyie mnalazimisha hakufa kwa ajali ili awe amekufa kwa corona.?

Nikiita watu wapumbavu mods huwa wanakimbilia kitufe cha ban
 
Ajali ya corona Mkuu, huoni jamaa kaikimbia Dodoma Mkuu? Anaogopa ajali ya kubamizwa BAAM!
Kwahiyo huko alikokimbilia hakuna corona?

Mbona basi kila anaekufa huko mnasema ni corona?

Mna matope vichwani mwenu
 
Unataka ndungai aseme nditie ameugua gafla amfurahishe mbowe na chama chake.

Umesahahu vita ya ndungai na mbowe last year.


Huu ni uongo wa mchana kabisa.
Kwahiyo hii itakuwa senema kama ile ya Mbowe kulewa na kuteguka kwa kuanguka kisha kusingizia watu wasiojulikana?
 
Mkuu hawa jama wakiongozwa na lile tahira kule twiter hata kesi zao za icc wameacha kuzifuatilia
 
Hili I jibu sahihi kwa wapumbavu wote walioamini mbunge kafa kwa korona. Na siyo ajali na zaidi ya you're mbunge alikuwa anaendesha mwenyewe aka u turn akiwa high way Ndiyo akagongwa na coaster ubavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…