Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

Israel,Boko haram,wale waliopo Syria wamewekwa na US/Nato,waliopo Libya kuna pande 2,waliopo upande wa US(wanajiita upande wa UN) wale silaha zimetoka magharibi,kwa kifupi CIA wanapiga Kazi mno ya kupandikiza watu wao nazani kuliko agency yyt duniani
Boko haram haijawekwa na US. Na Libya kaishikilia Mrusi. Vifaa vingi vilivyouwa watu third world countries ni vya wachina na Warusi au eastern Europe kama Poland, Romania, Serbia etc.
Pia nchi kama Uturuki, Korea kaskazini.
Marekani labda amuuzie Saud ndiyo akavitumie Yemen.
 
Harafu unakutana na mburula wa Chadomo kama Heche na Lisu wanakwambia wawekezaji wanakuja kuchota Mali na uwekezaji ni kuuza Bandari na Madini 😆😆
Baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru pamoja na utajiri wa maliasili Tanzania ina GDP ya ngapi?
 
Kama hiyo GDP ni mapato ya taifa yanagawanywa kwa idadi ya raia yaani population basi US lazima iizidi China kwa GDP,sababu US wapo raia takriban miloni 320 wakati huko China kuna raia billion 1.5 kama sijakosea.
Kwa idadi hizo za watu,hata kama China itaizidi US kwa mauzo na faida,Bado GDP yake itaonekana ni ndogo.
 
Kwahiyo umeshindwa kuandika kwa kiswahili 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sio lazima, lugha zinazokubalika ni mbili. Kama huelewi hilo siyo kosa langu ndiyo maana tunafundishwa kiingereza miaka 11, siyo kwa ajili ya urembo.
 
Hii ya uvumbuzi wa Tech tuliwahi kusema humu ila watu wakabisha. Wakasema kwa Tech China yupo mbali zaidi kuliko US.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…