FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Marekani akichapisha pesa, anaweza kuitumia popote pale duniani, haitaji kuibadilisha. Nchi kama Tanzania, ikisema ijichapishie tu minoti hovyo hovyo kama Marekani anavyofanya, inabidi atafute dollar za kubadilisha kabla hajaagiza kitu China, sasa utakuta trekta moja aunaagiza kwa bilioni 2 sababu shilingi itashuka thamani wakati wa exchange.Fafanua kidogo
Kwanza Marekani ndiye exporter mkubwa wa digital services. Tanzama kampuni kubwa za softwares huduma za mtandao, huduma za fedha ni za Marekani. Na ndiyo maana wengine wanamshangaa trump akiwambia nchi za ulaya kuwa kuna trade deficit wakati yeye anauza digital services kwa hao ulaya kwa deficit kubwa sana ila yeye tu anazingatia physical goods tu.Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Huna Gugo kwenye simu yako?Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo.
Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni.
Kwa tofauti ata ya $1t ni gap kubwa,,Sasa wachumi nipeni Elimu Marekani anamzidi wapi china hadi GDP yake haishikiki.
Karibu
Michael Moore did a very useful documentary over 12 year agoMmarekani ni zaidi ya kuuza.
Mmarekani anamiliki pesa inayotumika zaidi kwenye biashara ya kimataifa.
Hii inampa Mmarekani faida kubwa sana katika biashara ya kimataifa.
Mjinga wewe unajua kabisa 50 yrs to come hautokuwepo duniani kutetea hoja yako.Ila elewa china amekimbia spidi ya light kinyama na bado anakimbia na atampita huyo mme wenu USA.
Rudi nyuma like 60yrs check iyo GDP gap lilikuwa ngapi na saivi gap limekuwaje.
Pia subiria 30-50yrs to come uje uongee hapa ulete iyo GDP yako Tena dogo..una wivu na chin.
Elewa USA anaiba mafuta middle east , alimuua Saddam,Gadafi na anachochea vurugu mahala ili achukue madini sehemu nyingi mno makampuni yake ni kiyanyoji yaani wanaiba
kweli ata M23 silaha wazotumia sijaona Bunduki kutoka Marekani.Silha inayoongoza kuuzwa duniani ni AK47 ya Warusi.
Hapa ndo umejibu swali?GDP ya China miaka 1950s ilikuwa dollar Billion 30 wakati GDP ya marekani 1950s ilikuwa dollar Billion 300.
Swali gani ulilo niuliza wewe ?Hapa ndo umejibu swali?
ShukraniMarekani akichapisha pesa, anaweza kuitumia popote pale duniani, haitaji kuibadilisha. Nchi kama Tanzania, ikisema ijichapishie tu minoti hovyo hovyo kama Marekani anavyofanya, inabidi atafute dollar za kubadilisha kabla hajaagiza kitu China, sasa utakuta trekta moja aunaagiza kwa bilioni 2 sababu shilingi itashuka thamani wakati wa exchange.
Hii inampa USA mikopo isiyo na kikomo, anakopa na kufanya uzalishaji, hivyoGDP inakuwa. Kiufupi Debt celing anajiwekea mwenyewe, anachapishankadri atakavyo.., siku ya siku tukimdai anaweza hata akaamua kujifutia madeni sababu ni nuclear superpower, na hatuna la kumfanya
Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?
Kila mahali watu wana gombania dollar ya kimarekani , lakini cha kushangaza hanunui toothpick, simu, gari wala hata kahawa kutoka marekani. Vitu kama hajanunua China, basi atanunua Japan, la sivyo atanunua vya humu Tanzania. Sasa hii shobo ya kutaka dollar ni ya nini? Kwanini msitake Chinese...www.jamiiforums.com
Kwenye uzi wote hili ndio jibu, na ndicho nimewaambia hapo juu, mengine yote ni matokeo tu ya Dollar hedgemony, na ndio asset kuu ya ya USHow does the US econony benefit from the US dollar being the major currency of international trade?
Meta AI.
The US economy benefits from the US dollar's status as a major currency of international trade in several ways:
Benefits:
1. Seigniorage: The US earns seigniorage, which is the difference between the face value of currency and its production costs. As a widely used currency, the US can issue more dollars to meet global demand.
2. Increased demand for US assets: The dollar's status as a reserve currency increases demand for US assets, such as Treasury bonds, which helps to finance US government spending and keeps interest rates lower.
3. Lower transaction costs: The widespread use of the dollar reduces transaction costs for US businesses and individuals, making international trade and investment easier and more efficient.
4. Global influence: The dollar's dominance gives the US significant influence over global economic affairs, allowing it to shape international economic policies and institutions.
5. Financing trade deficits: The US can finance its trade deficits more easily due to the dollar's reserve currency status, as foreign central banks and investors are more likely to hold US dollars.
Economic Advantages:
1. Increased economic power: The dollar's status reinforces the US's economic power and influence in global affairs.
2. Competitive advantage: US businesses may have a competitive advantage in international trade due to the dollar's widespread use.
3. Financial market development: The dollar's reserve currency status contributes to the development of deep and liquid US financial markets.
The US dollar's status as a major currency of international trade provides significant economic benefits, reinforcing the US's position as a global economic leader.
Mvamizina Japan alikua nan kwa mchina?
Upo sahihiChina unaweza sema haikua fully colonized
Mkuu pitia historia vyema kujisahiisha. Ingawa China ilikua na falme zake mbalimbali fahamu Mongolia ilishawahi itawala China. Fahamu kuwa baada ya vita vya pili ya dunia baadhi ya sehemu ya China ilitwaliwa na Japani.China haikupata uhuru mwaka 1949 bali ilikuwa ndio mwanzo wa utawala wa Wakomunisti wa CCP, China ni taifa huru kwa miaka yote, haijawahi kutawaliwa au kuwa koloni. China Imekuwa Empire na taifa huru kwa zaidi ya miaka 2,000.
So what? Kwamba hiyo pekee ndio inatumiwa duniani kote? Jazia jazia basi nyama. Lakini usisahau kwa uhuni wa marekani wanaweza kutumia proxy zao ili wasionekane ni wao.Silha inayoongoza kuuzwa duniani ni AK47 ya Warusi.