Kuna ukwel gan hapo , mbona unakuwa mwendawazim , ukwel kuwa YESU NI MZUNGU ? We jamaa ni mwehu sijaona , kwamba USA wabaguzi ila lila kitengo kina mtu mweusi nitajie mtu mweusi (mwafrika) yupo kweny system ya Iran , China , Urusi , India na N.koreaNaona huwezi jadili bila matusi..na ukweli unakukasirisha sana...
Ndio maana nawaita wehu , tunazungumzia watu weusi , kuna mtu wa rangi hapo kweny hizo picha ?Hii picha ulioiweka kwa Kuangalia tu ni wahindi wa south. Hata huoni rangi zao wamepaka kwenye paji za Uso?
Ukiangalia picha unajuwa na utaifa wao ila kuanzia rais hadi balozi wa nyumba 10 kwenye nchi zako pendwa huez kuta mtu kashika nyazifa ana ngozi ya aina hiyo , bado Huyu USA anaejitahid kuweka mambo wazi ndo mbaya , na michigan mpk mnajaa hamjauawa ila huko China wenzio wapo rumande , urusi aliwatia kiberiti mpk walipoomba poo , india ndo usiseme kila siku anaua , iran kaamua wanyoosha waislam wenzie maana usuni wao unawapopoa , ila Bado wavaa vipedo wanasema USA ndo mbaya sana View attachment 2660897View attachment 2660895View attachment 2660896View attachment 2660898View attachment 2660899
Wewe kumbe kipofu..ntakuletea picha hapa nikufunge mdomo.....achaga kuropoka vitu huvijui..Kuna ukwel gan hapo , mbona unakuwa mwendawazim , ukwel kuwa YESU NI MZUNGU ? We jamaa ni mwehu sijaona , kwamba USA wabaguzi ila lila kitengo kina mtu mweusi nitajie mtu mweusi (mwafrika) yupo kweny system ya Iran , China , Urusi , India na N.korea
Wapi ni sehem nzur kuish kuliko USA? maana mmejazana USA wengne mnapambana kwenda ila humu mnajifanya kupaponda , NITAJIE NCHI SALAMA KWENDA ILI TUANZE WATOA WAVAA KOBAZ HAPO MICHIGAN WAENDE HUKO SEHEM SALAMAWewe mpenda wazungu naona umeumia Sana napokuonesha walivyo sio watu...
Kuna Mzungu juzi kampiga risasi mtoto mweusi Kwa kugonga hodi Tu nyumban kwake...
Eti wazungu WA sasa wastaraabu nenda ukaishi nao wakutwange risasi..
Kuna ukwel gan hapo , mbona unakuwa mwendawazim , ukwel kuwa YESU NI MZUNGU ? We jamaa ni mwehu sijaona , kwamba USA wabaguzi ila lila kitengo kina mtu mweusi nitajie mtu mweusi (mwafrika) yupo kweny system ya Iran , China , Urusi , India na N.korea
Ww ni mpuuz na unaandika upuuz , maana nmekuuliza useme sehem gan salama zaid ya USA kwa mtu mweusi na mvaa kobaz kuish , hutaj unaruka ruka tuWewe kumbe kipofu..ntakuletea picha hapa nikufunge mdomo.....achaga kuropoka vitu huvijui..
Unahamisha magoli Hadi unatia hurumaWapi ni sehem nzur kuish kuliko USA? maana mmejazana USA wengne mnapambana kwenda ila humu mnajifanya kupaponda , NITAJIE NCHI SALAMA KWENDA ILI TUANZE WATOA WAVAA KOBAZ HAPO MICHIGAN WAENDE HUKO SEHEM SALAMA
Wapi ni sehem nzur kuish kuliko USA? maana mmejazana USA wengne mnapambana kwenda ila humu mnajifanya kupaponda , NITAJIE NCHI SALAMA KWENDA ILI TUANZE WATOA WAVAA KOBAZ HAPO MICHIGAN WAENDE HUKO SEHEM SALAMA
Ww ni mpuuz na unaandika upuuz , maana nmekuuliza useme sehem gan salama zaid ya USA kwa mtu mweusi na mvaa kobaz kuish , hutaj unaruka ruka tu
Kwan hata kwa picha si mwarabu kbs , rangi yake ni brown iliyofifia mfView attachment 2660911View attachment 2660913View attachment 2660912
We jamaa ni mpuuz sijapata kuona , goli gan limeamishwa hapo , unadai wazungu wabaguzi umetoa mifano yako , sasa tuambie wap wana ubaguz mdg kushinda WAZUNGU ( Ulaya&USA) ,maana nmekujib muda tu kuwa bora USA kuliko huko middle east na Urusi , China na Korea zote mbili ( Angalau Kusini) , ila bdo ukajifanya hujui kusoma , ss hv nakuuliza ww wapi ni bora kwako kuishi ambapo kuna ubaguz mdg kuliko USA , unasema nahamisha magoli , hv kichwan zimo ?Unahamisha magoli Hadi unatia huruma
Hahaaa ushahamia kweny magonjwa sio ubaguz tena , ndio maana nakuita MWEHU hlf unadai nahamisha magoli [emoji23] [emoji23] , Afrika tuna watu wa ajabu sn , yaan hujui unazungumza nn mara ubaguzi sasa hv magonjwa inaezekana ugumu wa maisha unakuchanganyaYou are too ignorant to argue with..
Nchi inayoongoza Kwa magonjwa ya kansa duniani Kwa sababu ya sumu kwenye vyakula wewe unakuja kutangaza hapa ndo nchi salama kuishi duniani??
Bahati mbaya sina video hapaWe jamaa ni mpuuz sijapata kuona , goli gan limeamishwa hapo , unadai wazungu wabaguzi umetoa mifano yako , sasa tuambie wap wana ubaguz mdg kushinda WAZUNGU ( Ulaya&USA) ,maana nmekujib muda tu kuwa bora USA kuliko huko middle east na Urusi , China na Korea zote mbili ( Angalau Kusini) , ila bdo ukajifanya hujui kusoma , ss hv nakuuliza ww wapi ni bora kwako kuishi ambapo kuna ubaguz mdg kuliko USA , unasema nahamisha magoli , hv kichwan zimo ?
Unaiona USA kwenye TV unafikiri maisha kule Kwa watu weusi ni kama fresh Prince of Bell air??Hahaaa ushahamia kweny magonjwa sio ubaguz tena , ndio maana nakuita MWEHU hlf unadai nahamisha magoli [emoji23] [emoji23] , Afrika tuna watu wa ajabu sn , yaan hujui unazungumza nn mara ubaguzi sasa hv magonjwa inaezekana ugumu wa maisha unakuchanganya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hv swali umelielewa lkn ? Mbona unaonesha upeo mdg , naona hujui lolote nje ya USA tu , na ndio maana unakwepo kudebate USA Vs Middle east , Urusi , Uchina na korea , Iq yako ndogo sanaBahati mbaya sina video hapa
Nilitaka nikupostie video ya mmarekani aliehamia Tanzania akikimbia ubaguzi..ilirushwa BBC...na wengine wamehamia Ghana
Hahaaa ushahamia kweny magonjwa sio ubaguz tena , ndio maana nakuita MWEHU hlf unadai nahamisha magoli [emoji23] [emoji23] , Afrika tuna watu wa ajabu sn , yaan hujui unazungumza nn mara ubaguzi sasa hv magonjwa inaezekana ugumu wa maisha unakuchanganya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hv umeishia drs la ngap ? Ebu rudi usome tena yote nliyokujib , kuna sehem nmesema hayo yote au machache uliyotataja hayapo USA ? una kichwa kibovu cha karne hii , Narudia tena bora USA kuliko huko upasikii maana watu weusi huko wamezwa kbs hata kuonekana kwenye tv ni nuksi kwa nchi zao , Je China , Russia , Korea na Iran kuna mtu mweusi kwenye nyazifa za juu za system zao ? Kweny timu zao za taifa kuna mtu mweusi ( sio watu ) , au kweny field yoyote huko kwao umewai ona mtu mweusi , je unahisi hakund watu weusi kweny hzo nchi?Unaiona USA kwenye TV unafikiri maisha kule Kwa watu weusi ni kama fresh Prince of Bell air??
Inasikitisha sana...watu Hadi wanahamia Tz .....wewe uko unasifia ujinga hapa
Unalazimisha nibishane kitu ambacho sijaanzisha ubishi...nacho..[emoji23] [emoji23] [emoji23] hv swali umelielewa lkn ? Mbona unaonesha upeo mdg , naona hujui lolote nje ya USA tu , na ndio maana unakwepo kudebate USA Vs Middle east , Urusi , Uchina na korea , Iq yako ndogo sana
Vitu unavyokomalia kujib na vitu nakujib tofauti inaonesha kichwan ww ni mtupu , mwaka 2014 kuna utafiti ulifanyika ukaonesha kati ta watz 4 basi 3 ni wehu , naamin ww ni miongon hao 3 wehu