anataka mfadhili wa vikundi hivyo ammalize aache vikundi vya kipalestina viishi kwa amani. Iran kaishapapaswa mpapaso wa ajabu akijitia kiburi anashushiwa kitu kizito, mwisho wa maayatollah umekaribiaAmalozane kwanza na hivi vikundi vinavyomsumbua ndio aende Iran
Kumbe US ndio anamzuia Israel, basi tumejua nani babaMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Labda Iran ya Makunduchianataka mfadhili wa vikundi hivyo ammalize aache vikundi vya kipalestina viishi kwa amani. Iran kaishapapaswa mpapaso wa ajabu akijitia kiburi anashushiwa kitu kizito, mwisho wa maayatollah umekaribia
Chanzo cha habari Kiko wapi nduguMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Haujasema Irani anapata kiburi kutoka wapi!Kwasasa marekani inachofanya ni kuisaidia Israel na kujifanya haiisaidii ili sifa zote ziende kwa Israel.
Kamwe marekani na uingereza hawawezi kuiacha Israel idhalilike kinachonishangaza ni kwamba kwanini Iran hawalioni hilo
hiyo iran yenu mnayoipepelea kuwa ina nguvu ya kuisambaratisha israel mlisema weekend hii itaishambulia israel mbona haijafanya hivyo? Daima israel ndio mbabe wa vita mashariki ya kati mfahamu hiloLabda Iran ya Makunduchi
Israel ilisubiri miezi 2 tulia dawa inakujaiyo iran yenu mnayoipepelea kuwa ina nguvu ya kuisambaratisha israel mlisema weekend hii itaishambulia israel mbona haijafanya hivyo? Daima israel ndio mbabe wa vita mashariki ya kati mfahamu hilo
Israel bila msaada wa Marekani haiwezi kuishambulia Iran.
AACHE VITISHO AKAE PEMBENI KWELI AWAACHE ISRAELI NA IRANMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Tatizo usa anapigana kwa niaba halafu isreli ndo anawekwa mstari wa mbele eti yeye ndo kafanyaHakuna taifa linalopigana vita pekee yake ila kwenye vita huwa kuna taifa husika ambalo linakuwa mbele mataifa mengine yanakuwa nyuma yake lakini ushindi na kushindwa ni wa taifa ambalo liko kwenye mstari wa mbele.
Russia pamoja na ubabe wake wote hapigani peke yake ana saidiwa na Iran,Korea kasikazi ambayo imepeleka kabisa askari kwa ajili ya kupigana.
Bora iwe hivyo mayahudi iwe ndio mwisho waoMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Israeli ndo alianza kwa kubomoa ubalozi wa irani ..ni chi gani ingevumilia huo ujingaNan ameamuanza mwenzie kama sio Iran ? Irana Huwa wanaongea hadharan ila Kwa vile huna akil unaona ni sw Iran kushambulia Israel ila Israel kujibu sio sw
Kama sio bikra usioeMarekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Kelele tu atafanya nini zaidi ya alicho fanya, hio ni dalili wazi Israel anaogopa na US anajidai kumtisha Iran.Marekani imeionya Iran : “kwakweli hatutakuwa na uwezo wa kuwazuia Israel wasifanye maajabu dhidi ya Iran endapo Iran wakithubutu kulipiza kisasi, tunajua na tunaelewa nini Israel walikuwa wamepanga na haikuwa kazi rahisi kuwazuia wasifanye hivo, wakati huu hatutakuwa na uwezo si tu wa kuwazuia Israel bali hata kuwashauri itakuwa ngumu”
Unaposikia mbinu za kivita ndio hizo.Tatizo usa anapigana kwa niaba halafu isreli ndo anawekwa mstari wa mbele eti yeye ndo kafanya
Makonbora ya IRAN hayana uwezo wa kufika huko ulikokutaja. Yana uwezo wa kupiga Kambi za maeneo ya Middle East na alishaonyesha mfano pale IRAQ. Kambi 2 zilibondwa na Trump akaufyata.Kama Iran shida yake ni kuingia "head to head war" na mmarekani si atupe kombora moja pale Pentagon?
Anarandaranda tu ila kidizaini anamuogopa mmarekani... Maana km wamarekani ndo wanafanya operation ya kumkanda nchini kwake kwanini naye asiwakande kulekule kwao kuliko kukomaa na Israel ambaye mnasema ni kibaraka tu wa mmarekani?
Bila shaka ni Russia,lakini nijuavyo Mimi Iran haitakiwi kuitegemea hiyo nchi. Kwani urafiki huu ni kwa kuwa tu Putin nae mambo yamemkaba huko anahitaji kampani.Haujasema Irani anapata kiburi kutoka wapi!
Waweke bayana wote tuwajue