Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,619
- 2,272
Haipingwi mkuu!Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Hata Rais Samia ni myahudi 🤣.Subiri kidogo utaelewa
Tofauti kati msalaba na jumlisha
USA inanufaika vipi kwa kushirikiana na Israel?Nimekwambia kwamba si kweli.
Inaonekana tu hivyo kwa sababu huko Mashariki ya Kati Israel imezungukwa na maadui na kila mara kuna mizozo ambayo huifanya Marekani ihusike.
Narudia tena, inaonekana hivyo kwa sababu ya hali ilivyo huko Mashariki ya kati.
Lakini ukiangalia ukweli [facts] utagundua kwamba Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kuliko hata Israel.
Marekani ipo karibu zaidi na Uingereza kwa sababu za kihistoria ambayo iko dhahiri kabisa.
Kigumu kueleweka hapo ni nini?
Basi utakuwa gimbi wewe.Mimi sio kiazi labda utakuwa wewe
Inanufaika vile vile kama inavyonufaika kwa kushirikiana na Taiwan, South Korea, Japan, Ujerumani, Canada, na Uingereza.USA inanufaika vipi kwa kushirikiana na Israel?
Iran naye anasaidiwa sana tena sana na russia na ndiyo iliyoiwezesha Iran kuanzisha program ya nyuklia na juzi tu hapa Irani na Russia waliingia makubaliana kuwa Iran ikishambuliwa basi Russia inaingia kuisaidia Iran, kwa hiyo Iran bila russia naye hamna kitu.Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Elon kazaliwa South Africa kisha familia yake ikahamia USA, ndo nasikia leo hapa kuwa jamaa ni Myahudi, lkn huwezi kuitofautisha USA na Vatican hawa wamekuwa washirika toka kitambo, hao Wayahudi ni project wana mpango nao wanawasaidia kila kitu kwa faida wanayoijua waoExactly!
Watu wanawaorodhesha matajiri ambao wanasadikika kuwa ni Wayahudi.
Wengine nadhani wanazushiwa tu.
Lakini katika hao wote wanaoorodheshwa, wote wanaishi Marekani. Wengi wao wamezaliwa Marekani. Na shughuli zao zote zipo Marekani.
Sasa wewe kwa kawaida unaweza kupambana na wezi 7 (israel+mabeberu wa magharibi) wakija kukuvamia nyumbani kwako peke ako (iran) ilihali una kitu cha thamani ndani kwko(crude oil+ nuclear weapons) sasa kwanini hao wezi wasikutandike wakumalize na wakuibie 😀🙌🏽Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Sawa, lakini Russia hana uchumi mkubwa kama wa Marekani.Iran naye anasaidiwa sana tena sana na russia na ndiyo iliyoiwezesha Iran kuanzisha program ya nyuklia na juzi tu hapa Irani na Russia waliingia makubaliana kuwa Iran ikishambuliwa basi Russia inaingia kuisaidia Iran, kwa hiyo Iran bila russia naye hamna kitu.
Kumbe musk ni myahudi... sikujua!..Technology kubwa za marekani ukifiatilia zimetengenezwa na Muisrael
Oppenheimer -Nuclear Bomb
Albert Einstein
Elon musk
Hata mimi leo ndo nimesikia kwamba Elon Musk ni Myahudi.Elon kazaliwa South Africa kisha familia yake ikahamia USA, ndo nasikia leo hapa kuwa jamaa ni Myahudi, lkn huwezi kuitofautisha USA na Vatican hawa wamekuwa washirika toka kitambo, hao Wayahudi ni project wana mpango nao wanawasaidia kila kitu kwa faida wanayoijua wao
Israel kama taifa limekuwepo mwaka 1946 kuja mpaka hapa tulipo hii ni kauri ya Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa na clouds360° ya Clouds fm (aliulizwa kuhusu mgogoro wa Palestina) kumbuka akiwa umoja wa taifa alishughulika na masuala ya ardhi na makazi, maana ake nini Israel inazidiwa umri na Zanzibar
Hapa ukihoji utaambiwa walitekwa utumwani so walianza kurudi na kuunda taifa lao miaka hiyo, lkn ukweli ni kwamba hao wanaojiita Wayahudi ni wahuni fulani tu walichukjliwa sehemu kisha wakapadikizwa hapo
Kawaida races za watu zinakaribia kutokana na jiografia ya eneo husia mid east ni eneo la waarabu ajabu wayahudi (ambao wanaonekana kama wazungu wakawa katiyao)
lkn hii haita dumu milele ipo siku hizi propaganda zitajulikana, janga la korona watu wanamuomba Mungu wa Israel wakati MuIsrael mwenyewe alichanja
Israel haina chochote cha kujivunia zaidi ya masuala ya kilimo cha umwagiliaji, hizi zingine ni propaganda tu za magharibi wanampa Israel sifa asokuwa nazo ili kuprove mambo yao ya dini (taifa teule) wachina wamemuacha mbali sana kwa kila kitu kiteknolojia
Hakuna mtu yeyote dunia hii akakuamini akupe teknolojia yake yote, kwa sababu hakuna mahusiano yanayodumu vipi mkitofautiana na umegawa kila kitu (yaani ww ndio mwanzilishi ila huna chochote, unategemea misaada/kusaidiwa hivyo ulivyovibuni, inawezwkana kweli?
Hebu tumieni akili aiseeee
🤣🤣Kumbe musk ni myahudi... sikujua!..
duh kweli aisee watu waende hata veta labda kuna maarifa watapataElon kazaliwa South Africa kisha familia yake ikahamia USA, ndo nasikia leo hapa kuwa jamaa ni Myahudi, lkn huwezi kuitofautisha USA na Vatican hawa wamekuwa washirika toka kitambo, hao Wayahudi ni project wana mpango nao wanawasaidia kila kitu kwa faida wanayoijua wao
Israel kama taifa limekuwepo mwaka 1946 kuja mpaka hapa tulipo hii ni kauri ya Prof. Anna Tibaijuka akihojiwa na clouds360° ya Clouds fm (aliulizwa kuhusu mgogoro wa Palestina) kumbuka akiwa umoja wa taifa alishughulika na masuala ya ardhi na makazi, maana ake nini Israel inazidiwa umri na Zanzibar
Hapa ukihoji utaambiwa walitekwa utumwani so walianza kurudi na kuunda taifa lao miaka hiyo, lkn ukweli ni kwamba hao wanaojiita Wayahudi ni wahuni fulani tu walichukjliwa sehemu kisha wakapadikizwa hapo
Kawaida races za watu zinakaribia kutokana na jiografia ya eneo husia mid east ni eneo la waarabu ajabu wayahudi (ambao wanaonekana kama wazungu wakawa katiyao)
lkn hii haita dumu milele ipo siku hizi propaganda zitajulikana, janga la korona watu wanamuomba Mungu wa Israel wakati MuIsrael mwenyewe alichanja
Israel haina chochote cha kujivunia zaidi ya masuala ya kilimo cha umwagiliaji, hizi zingine ni propaganda tu za magharibi wanampa Israel sifa asokuwa nazo ili kuprove mambo yao ya dini (taifa teule) wachina wamemuacha mbali sana kwa kila kitu kiteknolojia
Hakuna mtu yeyote dunia hii akakuamini akupe teknolojia yake yote, kwa sababu hakuna mahusiano yanayodumu vipi mkitofautiana na umegawa kila kitu (yaani ww ndio mwanzilishi ila huna chochote, unategemea misaada/kusaidiwa hivyo ulivyovibuni, inawezwkana kweli?
Hebu tumieni akili aiseeee
Sasa foundation ndo Kila kitu Kwenye nyumba. Afu hiyo Oppenheimer sio theory, alitengeneza bom la nuclear kabisa. Silaha kubwa na hatari kuliko zote marekani na duniani.Nyie watu acheni ulay man hao watu wali lay foundation tu theoretically usisahau tech ni kitu dynamic Leo ukimfufua tesla atakuta Umeme umekuwa advanced sana
El-Mungu Kwa kiebraniaKheee Elon Musk naye ni Muisrael? 🤣🤣
Elon Musk ni tapeli mhuni tu.Technology kubwa za marekani ukifiatilia zimetengenezwa na Muisrael
Oppenheimer -Nuclear Bomb
Albert Einstein
Elon musk
Acha uongo! Qatar na Saudia wameuziwaF-35 haziuzwi kwa nchi yoyote, so kama zimeshiriki kwenye mashanbulizi means USA is involved moja kwa moja
na kujenga drone unit ndani ya iran pia ni msaada wa marekani?Israel imetumia ndege za Kimarekani za F-35 kuishambulia Iran.
Ndege hizo zina uwezo wa kujazwa mafuta zikiwa angani.
Uwezo huo wa midair refueling Israel haina.
Marekani, ambao ndo watengenezaji wa hizo ndege, ndo wenye uwezo huo.
Pia, Israel imetumia intelligence ya Marekani hususan satellite imagery, katika kuzi identify targets na hatimaye kuziondoa.
Ukweli ni kwamba Israel bila Marekani ni hamna kitu kabisa.
Nawewe tapeli uwe tajiri wa kwanza hata kijijini Kwenu tuElon Musk ni tapeli mhuni tu.
Sijui.na kujenga drone unit ndani ya iran pia ni msaada wa marekani?