Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Likely?IS group likely behind Jerusalem truck attack ... https://www.france24.com/en/20170108-jerusalem-israel-truck-rams-soldiers-injured-wounded
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Likely?IS group likely behind Jerusalem truck attack ... https://www.france24.com/en/20170108-jerusalem-israel-truck-rams-soldiers-injured-wounded
Huna hojaNdugu yangu yaani Marekani na Israel zipange mauaji kwa njia ya suicide mission kwenye anniversary ambayo inafanyika kwenye cemetery area( makabulini) ili iue watu wasio hata na visu mkononi!!!!!!!!!????? Katikati kabsa ya mgogoro unaotishia kusambaa middle East 🙄🙄🙄🙄. Kwani lazma mtu ufikilie ki sheikh Ponda Ponda wakati mwingine tumieni na akili zenu za kuzaliwa( common sense). Weka kando akili za kuwaza bikira 72
Huna hojaVita vina mbinu nyingi muhimu ushindi TU.kuunda makundi ya kigaidi ni moja ya mbinu
Kf🥱🦎
Hii propaganda umeipata wapi acha kudanganya watu
Wakati mtume kaenda hijjatul wadaa baada ya pale alisema akiondoka viongozi watakao mfuata ni abuu bakar na omar
Uislam ulianza kugawika baada ya kuondoka Sayyidina othman hapa ndio pakaanza kutoka matabaka na yalitoka matabaka manne
Kwenye hayo manne moja ndio likawa ovu kabisa hawa makhawaarij wakatolewa kabisa kua sio waislam wengine....
View: https://www.youtube.com/watch?v=Cbu1MuJ5S60&ab_channel=OBAOnlinetv
Msikilize sheikh wako wa kitanzania
Hawa jamaa achana nao ni wazuri wa kutengeneza sinema hapa duniani embu fikiria wanawapa hela waasi congo hapo hapo wanatuma wanajeshi wa UN na hela ili walinde amani congo, hivi unajua netanyahu alikuwa anawaginance hadi hamas kwa manufaa yake ya uongozi?Nadharia njama tu hizi, ingekuwa ni kundi la Israel, Marekani asingethubutu kulishambulia.
Umekurupuka, hatahaujui umepost nini?Uongo mtupu....
Masalafi ya kisuni ya Isis ni maadui wa Iran kwa sababu wanaamini Washia sio waislamu.
Fuatilia mkuu, utaona wanapenda sana kupindisha ukwelisio dini wala nn Ni upeo tu wa baadhi Yao,dini hii na conspiracies ni mbalimbali
Tuwekee hiyo Clip ....Isil sio waislam na wala hawajaanzishwa na waislam
Hillary Clinton alisema kama wao na israhell ndio waliwaanzisha hao magaidi