jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kwahiyo na wao wamekubali kufitinika?Fitna za Mmarekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo na wao wamekubali kufitinika?Fitna za Mmarekani.
Swain si mnakula huko kwenu,minyoo yake inawajaa ubongoniWewe ni swain wahed.
Isis ni kundi la israel na hawajawahi wala hawatowahi kuigusa israel na ukiwa unaijua dini ya kiislamu hawakutaki kwenye kundi laoUongo mtupu....
Masalafi ya kisuni ya Isis ni maadui wa Iran kwa sababu wanaamini Washia sio waislamu.
Nadharia njama tu hizi, ingekuwa ni kundi la Israel, Marekani asingethubutu kulishambulia.Isis ni kundi la israel na hawajawahi wala hawatowahi kuigusa israel na ukiwa unaijua dini ya kiislamu hawakutaki kwenye kundi lao
Yeah!...Silaha anaweza kupewa Alnusra ili zimsaidia kwenye kupigana na Iran/Assad, hilo linawezekana kabisa.Acha hizo mkuu za kujitoa ufahamu, kwamba Israel anamuogopa sana Al Nusra kiasi kwamba ampe silaha ili asipigane nae? What kind of logic is that.
Alnusra haikuwahi kusema ina ugomvi na Israel.Mfano Mimi na wewe tuna Ugomvi miaka nenda miaka Rudi ili Mimi na wewe tusipigane unipe silaha?
Al nusra haina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Ukraine.2. Al Nusra kundi la waasi ambalo halina Mahusiano yoyote na west ila Wana silaha za kisasa sio tu Wana silaha Bali wanajua kuzitumia ipasavyo kuliko jeshi kamili la Ukraine.
sio dini wala nn Ni upeo tu wa baadhi Yao,dini hii na conspiracies ni mbalimbaliSijui kwanini hii dini ya akina Ritz inaamini sana kwenye conspiracy theories ... It is so disgusting
Hiyo ipo wazi serikali ya Sadam Ilikuwa Sunni wa Tikrit na Marekani ilishirikiana na Mashia kumuondoa na ndio maana baada tu ya kumuondoa ikawaweka madarakani kina nour Maliki ambao ni shiaNani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?
Halafu chunga kauli zako wewe.
naam Ni haohao shia na ndio maana akawapa serikali baada ya kumuondoa SadamNani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?
Halafu chunga kauli zako wewe.
Silaha hawajapewa na Qatar Bali USA again soma link niliyoweka halafu niambie silaha zimetoka wapi, umewekewa mpaka document za kiwanda ziliponunuliwa zikasafirishwa Hadi ulaya Mashariki kabla ya kuingia Syria.Yeah!...Silaha anaweza kupewa Alnusra ili zimsaidia kwenye kupigana na Iran/Assad, hilo linawezekana kabisa.
Alnusra haikuwahi kusema ina ugomvi na Israel.
Al nusra haina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Ukraine.
Halafu silaha zao nyingi walipewa na Qatar ambaye ndiye mfadhili wao mkuu.
Sasa unabishanaje hoja juu ya mambo usio yajua 😀Makala nilizosoma ndio zimewaita hivyo, kuwa Isis ni masalafi wa Kisuni wenye misimamo mikali.
Sijui mengi kuhusu mgawanyiko wa kimadhehebu ya kiislamu, nakiri hili
![]()
Experts weigh in (part 7): Is quietist Salafism the antidote to ISIS?
In the latest installment of an ongoing discussion organized by the Brookings Project on U.S. Relations with the Islamic World, counterterrorism and deradicalization expert Rashad Ali argues that it is more effective to deploy Islamic texts shared by mainstream Islam in order to challenge ISIS's...www.google.com
Kwasababu Iran anaheshimu sheria na katiba zake za nchiKwanini Iran nao wasitume jeshi USA?
Kwenye qur an ipi wanaoelekezwa hivyo sura ya ngapi na aya ya ngapi hem tukaisome na sisiUturuki hawakuwa wanafadhili directly kama kufadhili bali walikuwa wananunua mafuta ya magendo kutoka kwa ISIS ila kwa bei ndogo sana.
Hivyo wao walikuwa wanafanya nao biashara na ile hela ndio ISIS wanatumia kununua silaha. Uturuki ni Waislamu wenzao.
Hao wengine kina Saudi na wenzake walifadhili uasi Syria kwa sababu zao. Ila kusema walifadhili ISIS haipo, sababu ISIS yenyewe plans zake ilikuwa kushambulia Saudi Arabia ila ndio hawakuweza. Saudi ni Wasuni, ISIS wanawachukia Saudi kuliko Israel, kwenye Quran wanaelekezwa hivyo.
Labda wewe ututajie mapigo mangapiHayo ni maneno ya kujifariji tu!! Ni mapigo mangapi Iran ameshapigwa kwa njia tofauti tofauti, lakini huwa anaishia kupiga kelele tu?!! Na yeye kila tatizo likimpata lawama ni US?? Sasa US ameshatoa onyo kwa hicho kikundi kilichopo Yemen, kuwa kitakachowakuta wasije laumu.
Akiileta hapa unitagQUR'AN gani inawaelekeza ISIS kuwachukia saudia kuliko Israel!?
Kwasababu Iran anaheshimu sheria na katiba zake za nchi
Mbele ya ya isis sio mbele ya qur an 😀Aya ya 5 kwenye sura ya 9 ISIS wanaelekezwa kuwaua waisoamini, wanafanya hivyo. Na wajilipuaji wengine wanaitumia hii, ama ni sahihi ama sio sahihi wanajua wenye dini yao.
Saudi Arabia hasa Saudi Royal family mbele ya ISIS ni Waislamu wanafiki, na mafundisho ya Uislamu yanakataza unafiki ambao ISIS walidai hawataki. Sijui ni aya gani inausema unafiki ila mojawapo ya malengo ya ISIS ni kuikomboa Saudi Arabia kutoka kwa wanafiki Royal family. Bila kuwakata kichwa au kuwalipua hawawezi tekeleza azma yao.
Kama anavyo bark United Shits Of AmericantHana uwezo all bark no bite.
Iran na iraq walipigana sababu iran alipinduliwa aliokua swahiba wa marekani na iraq akaja mtu ambae hakua swahiba wa iraq wala us wakati huo us na Iraq walikua mtu na shoga yakeWacha kujitoa ufahamu huku ukijidai unafahamu.
İran na Iraq walipigana kwasababu gani?
Iran na Saudia kwasababu gani tena huku mmarekani akimsaisia Saudia dhidi ya Iran?
Unadhani ni kwanini Saddam ambaye ni Sünni aliweza kuondolewa madarakani na Shia ambao ndo wengi Iraq na ambao waliuwawa na Saddam kwasababu ya kutaka kusapoti ndugu zao Iran.
Pole sana.
Hii propaganda umeipata wapi acha kudanganya watuMtume alipokufa hakusema mrithi wake Nani, matokeo yake wafuasi wake wakagawanyika makundi hasimu Maliki.
Kundi la kwanza Wafuasi wa baba mkwe (Abubakari) na mfadhili mkuu wa Mtume na most powerful person kwenye kundi la mtume
Kundi la pili ni mkwe wa mtume na kipenzi chake ( Ali)
Washia wanaamini Ali na familia ya mtume ndio walitakiwa/wanatakiwa kuongoza umma wa kiislam.
Washia wana hadhiti za masikitiko walivoteswa na wasuni, mfano kuharibika Mimba Mke wa All hadi vifo vyao, kibaya zaidi hadi Leo hukumbuka ni mauaji ya Kalbara, pia Washia wanadai wakati mtume wao Ana kufa aliomba pen na karatasi aandike mrithi na mali Akina Abubakari wakachelewa makusudi hadi alipokufa.
So Washia na Wassuni hawataacha kuuana