Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Isis ni kundi la israel na hawajawahi wala hawatowahi kuigusa israel na ukiwa unaijua dini ya kiislamu hawakutaki kwenye kundi lao
Nadharia njama tu hizi, ingekuwa ni kundi la Israel, Marekani asingethubutu kulishambulia.
 
Acha hizo mkuu za kujitoa ufahamu, kwamba Israel anamuogopa sana Al Nusra kiasi kwamba ampe silaha ili asipigane nae? What kind of logic is that.
Yeah!...Silaha anaweza kupewa Alnusra ili zimsaidia kwenye kupigana na Iran/Assad, hilo linawezekana kabisa.

Mfano Mimi na wewe tuna Ugomvi miaka nenda miaka Rudi ili Mimi na wewe tusipigane unipe silaha?
Alnusra haikuwahi kusema ina ugomvi na Israel.


2. Al Nusra kundi la waasi ambalo halina Mahusiano yoyote na west ila Wana silaha za kisasa sio tu Wana silaha Bali wanajua kuzitumia ipasavyo kuliko jeshi kamili la Ukraine.
Al nusra haina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Ukraine.

Halafu silaha zao nyingi walipewa na Qatar ambaye ndiye mfadhili wao mkuu.
 
Nani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?

Halafu chunga kauli zako wewe.
Hiyo ipo wazi serikali ya Sadam Ilikuwa Sunni wa Tikrit na Marekani ilishirikiana na Mashia kumuondoa na ndio maana baada tu ya kumuondoa ikawaweka madarakani kina nour Maliki ambao ni shia
 
Nani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?

Halafu chunga kauli zako wewe.
naam Ni haohao shia na ndio maana akawapa serikali baada ya kumuondoa Sadam
kina Ayad Allawi,Jalal Talaban na Nur Al Maliki
 
Yeah!...Silaha anaweza kupewa Alnusra ili zimsaidia kwenye kupigana na Iran/Assad, hilo linawezekana kabisa.


Alnusra haikuwahi kusema ina ugomvi na Israel.



Al nusra haina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Ukraine.

Halafu silaha zao nyingi walipewa na Qatar ambaye ndiye mfadhili wao mkuu.
Silaha hawajapewa na Qatar Bali USA again soma link niliyoweka halafu niambie silaha zimetoka wapi, umewekewa mpaka document za kiwanda ziliponunuliwa zikasafirishwa Hadi ulaya Mashariki kabla ya kuingia Syria.

Na crime ni crime tu mkuu haijalishi Kuna Ugomvi ama hakuna Ugomvi as long as mtu ame comit jinai kwa Nchi inayoendeshwa kisheria hairuhusiwi kushirikiana nae,

Assume situation hio ingekua Nchi nyengine inashirikiana na Alqaeda Sasa hivi ingekua na vikwazo zaidi ya 1000.

Hypocrites.
 
Makala nilizosoma ndio zimewaita hivyo, kuwa Isis ni masalafi wa Kisuni wenye misimamo mikali.

Sijui mengi kuhusu mgawanyiko wa kimadhehebu ya kiislamu, nakiri hili

Sasa unabishanaje hoja juu ya mambo usio yajua 😀
 
Uturuki hawakuwa wanafadhili directly kama kufadhili bali walikuwa wananunua mafuta ya magendo kutoka kwa ISIS ila kwa bei ndogo sana.
Hivyo wao walikuwa wanafanya nao biashara na ile hela ndio ISIS wanatumia kununua silaha. Uturuki ni Waislamu wenzao.

Hao wengine kina Saudi na wenzake walifadhili uasi Syria kwa sababu zao. Ila kusema walifadhili ISIS haipo, sababu ISIS yenyewe plans zake ilikuwa kushambulia Saudi Arabia ila ndio hawakuweza. Saudi ni Wasuni, ISIS wanawachukia Saudi kuliko Israel, kwenye Quran wanaelekezwa hivyo.
Kwenye qur an ipi wanaoelekezwa hivyo sura ya ngapi na aya ya ngapi hem tukaisome na sisi
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu!! Ni mapigo mangapi Iran ameshapigwa kwa njia tofauti tofauti, lakini huwa anaishia kupiga kelele tu?!! Na yeye kila tatizo likimpata lawama ni US?? Sasa US ameshatoa onyo kwa hicho kikundi kilichopo Yemen, kuwa kitakachowakuta wasije laumu.
Labda wewe ututajie mapigo mangapi
United Shits Of Americant kawaida yake sana
Hata iran aliionya iache kurutubisha nyuklia vipi iliacha
United Shits Of Americant anaangalia na mnyonge wake
 
Aya ya 5 kwenye sura ya 9 ISIS wanaelekezwa kuwaua waisoamini, wanafanya hivyo. Na wajilipuaji wengine wanaitumia hii, ama ni sahihi ama sio sahihi wanajua wenye dini yao.

Saudi Arabia hasa Saudi Royal family mbele ya ISIS ni Waislamu wanafiki, na mafundisho ya Uislamu yanakataza unafiki ambao ISIS walidai hawataki. Sijui ni aya gani inausema unafiki ila mojawapo ya malengo ya ISIS ni kuikomboa Saudi Arabia kutoka kwa wanafiki Royal family. Bila kuwakata kichwa au kuwalipua hawawezi tekeleza azma yao.
Mbele ya ya isis sio mbele ya qur an 😀
 
Wacha kujitoa ufahamu huku ukijidai unafahamu.

İran na Iraq walipigana kwasababu gani?

Iran na Saudia kwasababu gani tena huku mmarekani akimsaisia Saudia dhidi ya Iran?

Unadhani ni kwanini Saddam ambaye ni Sünni aliweza kuondolewa madarakani na Shia ambao ndo wengi Iraq na ambao waliuwawa na Saddam kwasababu ya kutaka kusapoti ndugu zao Iran.

Pole sana.
Iran na iraq walipigana sababu iran alipinduliwa aliokua swahiba wa marekani na iraq akaja mtu ambae hakua swahiba wa iraq wala us wakati huo us na Iraq walikua mtu na shoga yake

Awaliomuondoa madarakani saddam ni marekani sababu wao ndio walomzushia zengwe kwamba ana WMD
 
Mtume alipokufa hakusema mrithi wake Nani, matokeo yake wafuasi wake wakagawanyika makundi hasimu Maliki.

Kundi la kwanza Wafuasi wa baba mkwe (Abubakari) na mfadhili mkuu wa Mtume na most powerful person kwenye kundi la mtume

Kundi la pili ni mkwe wa mtume na kipenzi chake ( Ali)

Washia wanaamini Ali na familia ya mtume ndio walitakiwa/wanatakiwa kuongoza umma wa kiislam.

Washia wana hadhiti za masikitiko walivoteswa na wasuni, mfano kuharibika Mimba Mke wa All hadi vifo vyao, kibaya zaidi hadi Leo hukumbuka ni mauaji ya Kalbara, pia Washia wanadai wakati mtume wao Ana kufa aliomba pen na karatasi aandike mrithi na mali Akina Abubakari wakachelewa makusudi hadi alipokufa.

So Washia na Wassuni hawataacha kuuana
Hii propaganda umeipata wapi acha kudanganya watu
Wakati mtume kaenda hijjatul wadaa baada ya pale alisema akiondoka viongozi watakao mfuata ni abuu bakar na omar
Uislam ulianza kugawika baada ya kuondoka Sayyidina othman hapa ndio pakaanza kutoka matabaka na yalitoka matabaka manne
Kwenye hayo manne moja ndio likawa ovu kabisa hawa makhawaarij wakatolewa kabisa kua sio waislam wengine....
 
Back
Top Bottom