JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wakati huo ISIS walikuwa na Muingereza mmoja aliyesilimu akiitwa "jihad John" aliyekuwa akiwachinja sana mateka. Kabla ya kuja kuuawa na milipuko ya Wamarekani hapo Syria . Ni wazi hakuna urafiki kati ya Marekani au Israel na ISIS.Hili pia linahitaji utafiti kuthibitisha hilo....
Kama ndio hivyo mbona Marekani, UK etc walishambulia Isis kule Syria na Iraq ?....badala ya kumuacha rafiki wa Israel yaani Isi atambe.
WaIran wanauawa Kwa tofauti ya Itikadi. Mashia wa Iran hawakubaliki kama Waislamu n ISIs.