Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Sijui nikuonyeshe mtaa wangu au niache tu😛
Angalia clip
Kuacha utejaMasharti gani ?
China umeishi muda gani ?Mimi mchaga og ,ngoja nikupe za mwanangu Jack wa kisukuma kwanza
View: https://youtu.be/j9oM-wfEZoo?si=9dnn90u0Q77tRUta
Nikurokodie ya sasa hivi meku?Sina muda wa kuangalia clip za YouTube wakati kuna reliable sources mtandaoni
Mwaka na nusuChina umeishi muda gani ?
Nikurokodie ya sasa hivi meku?
Trump kidampa
Kaka homeless mimi nawasaidia ila kabla sijaja huku pia nilikua homelessWewe rekodi ila ukweli utabaki palepale homelessness ni janga Marekani
Anaelewa kiasi gani soko la Marekani lilivyo muhimu kwa mataifa husika.Mm najua Trump huu mzozo aliutengeneza akijua watafikia makubaliano flani Hapo baadae
Si bwege ka_take advantage ya umuhimu wa soko lake kwa Mchina.Ilikuwa lazima iwe hivi. Bidhaa nyingi marekani zinatoka China. Trump bwege sana.
Kaka homeless mimi nawasaidia ila kabla sijaja huku pia nilikua homeless
VermontProvince gani ?
Wapo kwani nani kasema hawapo mkuu?Kwa hiyo tunakubaliana kuwa homeless wapo?
Makubaliano yao kwenye hichi kikao China kashuka hadi wapi na USA hadi wapi?China iliweka tarrifs 125% U.S.A 145% walisema wataishia 125% hawatopanda zaidi ya hapo maana itakuwa ni utoto na haina maana.