Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iranš
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni
Maangamizi Makubwa ndani ya Iranš