Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

Hili swala sio lakulishangilia hivyo maana madhara yake yanatuathir sana hasa mafuta yanapo badikila bei.
Ukiangalia kwa jicho la humu mtandaoni tunalishabikia ila maumivu ni makubwa sana kwa kila mwana ulimwengu huu, hawa wakubwa wanatuacha huku chini tunaumia na kusaga meno huku tukiwa hatujui pakukukimbilia, fikiri tu hata Mbolea tunaambiwa itapanda bei kwa uzwazwa wetu tuliua Minjingu kiwanda cha uzalishaji tukitegemea yakuletwa toka nnje duh!
 
Wewe haujajibu swali na sidhani kama ulisoma kwenye hizi Secular Schools.
Kuna aina nyingi za kujibu maswali, itakuwa uelewa wako wa siasa za mashariki ya kati ni mdogo sana..
 
Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭

Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni

Maangamizi Makubwa ndani ya IranšŸ‘‡
View attachment 3625347
Lengo ni kuharibu uchumi na miundombinu muhimu ya Iran baada ya regime change kufeli.
 
Back
Top Bottom