kamuulize bosi wako aliekuvusha na bodabodaEwura ndio nini? Ongea kwa kituo watu wapo msibani
View attachment 3625411
kamuulize bosi wako aliekuvusha na bodabodaEwura ndio nini? Ongea kwa kituo watu wapo msibani
View attachment 3625411
Punguza sauti bado Iran wapo msibani🤣kamuulize bosi wako aliekuvusha na bodaboda
View attachment 3625413
Hana jeuri hiyo, anasubiri kama hivi US ikienda ndio na yeye apitie humo humo ila face to face na Iran bila US hao jamaa hawawezi.Iran wanaogopa Sana Israel, hapo Netanyahu anatamani muda wowote aingize ndege Tehran, kawamiss sana🤣🤣
Si mlisema ilishapigwa sasa mbona haijageuka Syria? kuifungua Hormuz imewashinda mmebakiza kelele tuIran atapigwa hivi hivi kila siku hadi itabaki kama Syria
Kambi za US zilishabaki empty alishahamisha kila kitu!Kwani wameanza leo? Zimebadili nini hapo Iran? Ripoti pia juu ya kambi za US zilizorushiwa makombora na drones leo
DuhIran wanaogopa Sana Israel, hapo Netanyahu anatamani muda wowote aingize ndege Tehran, kawamiss sana🤣🤣
Iran inafahamu inachofanya, imeweka masharti magumu sana kwa US, wangekuwa waoga wangeshakaa mezani kuyamaliza.Kambi za US zilishabaki empty alishahamisha kila kitu!
Huyu Iran watakuwa wanampukuchua mdogo mdogo hivi hadi ataisha!
Umeona kinachompata Rusia sasa hivi? Ukrain inajipigia tu hadi ndani kabisa, leo hii urusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta!
Vita vya siku hizi ni vya kiuchumi zaidi wanakupiga mdogo mdogo unajiona kama unashinda huku unateketea.
Hashindwi kutoka,Iran inafahamu inachofanya, imeweka masharti magumu sana kwa US, wangekuwa waoga wangeshakaa mezani kuyamaliza.
Ila safari hii hawataki upuuzi, ni either ukubali matakwa yao ama muingie vitani..
Na Trump hii issue imemuharibia sana..
Kaingia vitani kwa kukurupuka sasa anashindwa kutoka..
Sasa hivi Iran imeshakuwa kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajipigia tu anapotaka!!!Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni
Maangamizi Makubwa ndani ya Iran👇
View attachment 3625347
Ndoto za mwendawazimu hizo!! Wa kuipiga Israel bado hajazaliwa!!!Israel na hizo kambi za US middle east watapigwa wachakae..
😂Mojtaba huko alipo atakua anazidi kujichimbia mashimoni kama otango sare🤣
Maneno ya kujifariji na kipigo wanachoendelea kupigwa!!Iran tutajibu kwa nguvu kubwa zaidi.
💪💪.
Waambie warushe hata kokoto ndani ya ardhi ya Iran..Ndoto za mwendawazimu hizo!! Wa kuipiga Israel bado hajazaliwa!!!
Mpaka Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kauliwa wewe hujui tu Israel inafanya Operation ndani ya Iran?Waambie warushe hata kokoto ndani ya ardhi ya Iran..
Kwanini sasa wameacha kufanya? Warushe hata mchanga tu ndani ya Iran..Mpaka Gaidi Ayatollah Ali Khamenei kauliwa wewe hujui tu Israel inafanya Operation ndani ya Iran?
Tutafanya comeback ya hatari, we subiri.Maneno ya kujifariji na kipigo wanachoendelea kupigwa!!