Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭

Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni

Maangamizi Makubwa ndani ya Iran👇
View attachment 3625347
Mzee wa USA yupo darasani anatoa kipindi - tutulie kidogo.
 
Umejuaje hawawezi?
Si Trump aliwaambia baada ya Netanyahu kupinga MoU ya iran na US kuwa kama wanataka kupigana vita waende wenyewe na Israel wakanywea mpaka leo.

Kumbuka Israel walijidai haitambui MoU kati ya US na Iran kwahiyo sasa kinachowazuia kuendelea na uvamizi ni nini? Wanajua bila US hawatoboi hata wiki mbele ya Iran.
 
Ukiwa unaongopa unaonaga Raha sana?
Israel ilifanya mashambulizi June mwanzoni ndani ya Lebanon, Iran ikajibu kwa kurusha missile Israel, Israel wakafanta mashambulizi Makubwa ndani ya Iran June 8 na 9. Mbona Iran hakuendelea kushambulia Israel??? Mbona Iran walifyata Mkia? Israel Hadi Leo bado anashambulia Lebanon, ila Iran hawakutuubutu Tena kurusha hata sindano🤣
Screenshot_20260709-175429~2.png
 
Waambie warushe hata kokoto ndani ya ardhi ya Iran..
Iran anashambulia kambi za marekani za Kuwait, Bahrain. Kwa nn Iran wanakwepa kushambulia kambi ya marekani ndani ya Israel??
Jana ndege za marekani zimetokea Israel, Mbona Iran hawaishambulii Israel!🤣🤣
 
Si Trump aliwaambia baada ya Netanyahu kupinga MoU ya iran na US kuwa kama wanataka kupigana vita waende wenyewe na Israel wakanywea mpaka leo.

Kumbuka Israel walijidai haitambui MoU kati ya US na Iran kwahiyo sasa kinachowazuia kuendelea na uvamizi ni nini? Wanajua bila US hawatoboi hata wiki mbele ya Iran.
kumbe maneno ya trump huwa unayaamini?
 
Iran anashambulia kambi za marekani za Kuwait, Bahrain. Kwa nn Iran wanakwepa kushambulia kambi ya marekani ndani ya Israel??
Jana ndege za marekani zimetokea Israel, Mbona Iran hawaishambulii Israel!🤣🤣
Israel haina uwezo kupambana na Iran, sijui tuwaeleze mara ngapi..

Israel hata hii vita alimuingiza US kijanja, ndio maana Trump akamuita Netanyahu ni tapeli..

Netanyahu alimuomba Trump wasogeze meli za kivita huku wakiitishia Iran, Netanyahu akasema watakuwa wanaitishia tu Iran ili ikubali kutorutubisha uranium.

Meli za kivita, ndege n.k vikasogezwa, kumbe nia ya Netanyahu ni kuiingiza US vitani..

Trump anafahamu ni mkwara kumbe Netanyahu lengo lake ni kuiingiza US vitani, maana Netanyahu anaelewa fika Israel haina uwezo wa kupambana na Iran..

Baada ya hapo Trump anasema walijikuta katikati ya vita...

Hata viongozi wa Iran walikuwa wame relax wakifahamu kuna probability ndogo ya vita kutokea..

Ndio maana Trump sasa anatumia kauli za ukali dhidi ya Netanyahu ili waache kuishambulia Iran maana anayelipa gharama ya hio vita ni US...

Trump mwenyewe alisema wakiendelea na huo uchokozi wataiacha Israel ipambane peke yake.. alimaanisha kwamba Israel peke yake itapigwa na Iran..
 
Umetoa maelezo mengi, ngoja twenda kwa utaratibu wa maswali marahisi. Kama Iran ana huo ubavu Mbona hashambulii Kambi ya Marekani Iliyopo Israel? Badala yake a aenda kuwaonea Bahrain na Kuwait?? Naomba sababu ya Iran kutoogusa Israel sasa hivi wakati Jana marekani karusha ndege zake kutokea Israel
 
Mi mara zote nakuaga upande wa Iran ila huu ung'ang'anizi wao wa kutoza kila meli inayopita Hormus matozo ilhali kabla ya vita hawakua wakifanya hivyo inanipa kigugumizi sana kuendelea kuwatetea kwani tunaoumia ni sisi nchi masikini kwa mafuta kutoshuka bei hali inayozorotesha maisha yetu
 
Back
Top Bottom