Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Nakubaliana nawe.Israel na hizo kambi za US middle east watapigwa wachakae..
Haya ndio majibu ya nguvu?🤣🤣Iran tutajibu kwa nguvu kubwa zaidi.
💪💪.
Uzuri mna nchi kubwa ya kuzikiaIsrael na hizo kambi za US middle east watapigwa wachakae..
Mojtaba huko alipo atakua anazidi kujichimbia mashimoni kama otango sare🤣Nakubaliana nawe.
Iran niwepo kufanya nini, wao wenyewe wa huko ndoto zao ni kwenda western countriesUnaripot kutoka Iran 🇮🇷 sio ?
Bongo nyoso
Iran hatoishambulia Israel, ila hao vima wa kiarabu watashambuliwa sababu hawawezi kulipa kisasiIsrael na hizo kambi za US middle east watapigwa wachakae..
Hawajaanza Leo huu ni muendelezo🤣Kwani wameanza leo? Zimebadili nini hapo Iran? Ripoti pia juu ya kambi za US zilizorushiwa makombora na drones leo
Iran wanaogopa Sana Israel, hapo Netanyahu anatamani muda wowote aingize ndege Tehran, kawamiss sana🤣🤣Iran hatoishambulia Israel, ila hao vima wa kiarabu watashambuliwa sababu hawawezi kulipa kisasi
Israel yeye akipiga acheki na kima 🤣🤣Iran wanaogopa Sana Israel, hapo Netanyahu anatamani muda wowote aingize ndege Tehran, kawamiss sana🤣🤣
Haraka haraka anapeleka watu jehanamu 🤣🤣Israel yeye akipiga acheki na kima 🤣🤣
wewe mlokole wa buza umeshindia mihogo leo kwenye kanisa la ufufuo huku kesho EWURA wanakuminya kende kwenye mafuta ya bodaboda ya tajiri wakoMapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni
Maangamizi Makubwa ndani ya Iran👇
View attachment 3625347
Iran inateketea usiku huuIran atapigwa hivi hivi kila siku hadi itabaki kama Syria
Ewura ndio nini? Ongea kwa kituo watu wapo msibaniwewe mlokole wa buza umeshindia mihogo leo kwenye kanisa la ufufuo huku kesho EWURA wanakuminya kende kwenye mafuta ya bodaboda ya tajiri wako
View attachment 3625410