Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

Iran wanaogopa Sana Israel, hapo Netanyahu anatamani muda wowote aingize ndege Tehran, kawamiss sana🤣🤣
Hana jeuri hiyo, anasubiri kama hivi US ikienda ndio na yeye apitie humo humo ila face to face na Iran bila US hao jamaa hawawezi.
 
Trump kavu sana anachowaza yeye muda wote ni vita tu hata mpira hasa WC lilianzishwa ili kuunganisha Dunia hii ni mara ya kwanza muandaaji wa WC yupo vitani haina hata maana ya WC..
 
Kwani wameanza leo? Zimebadili nini hapo Iran? Ripoti pia juu ya kambi za US zilizorushiwa makombora na drones leo
Kambi za US zilishabaki empty alishahamisha kila kitu!

Huyu Iran watakuwa wanampukuchua mdogo mdogo hivi hadi ataisha!

Umeona kinachompata Rusia sasa hivi? Ukrain inajipigia tu hadi ndani kabisa, leo hii urusi nao wanapanga foleni kujaza mafuta!

Vita vya siku hizi ni vya kiuchumi zaidi wanakupiga mdogo mdogo unajiona kama unashinda huku unateketea.
 
Iran inafahamu inachofanya, imeweka masharti magumu sana kwa US, wangekuwa waoga wangeshakaa mezani kuyamaliza.

Ila safari hii hawataki upuuzi, ni either ukubali matakwa yao ama muingie vitani..

Na Trump hii issue imemuharibia sana..

Kaingia vitani kwa kukurupuka sasa anashindwa kutoka..
 
Hashindwi kutoka,

Amekuja kugundua kwamba Iran inatumia Hormuz kama siraha ndio maana uncaona ameingia makubaliano hewa ili tu meli ziendele kupita ila nakuhakikishia mwishowe Iran atakuwa hoi bin taaban atashindwa hata kulipa wanajeshi wake sababu ya hivi vita.

Anachofanya US ni kumgonga Iran mdogo mdogo ili asiathiri zaidi soko la dunia la mafuta. Target yake kummaliza kabisa uwezo wa kivita na pia kuhakikisha baadae anaenda kunyakuwa madini ya nyukilia yaliyorutubishwa, umeskia jana Trump anawambia wa Iran mtu akivisogelea hivyo vinu atalipuliwa.

The same kwa Urusi West hawakuingia mazima kuisaidia Ukrain ila walikuwa wanatoa misaada kwa kudonoa hatimae Putin kalegea na leo hii Ukrain inapiga hadi St. Peters na Trump kasema atawapa Ukrain ruhusa ya kutengenza makombora ya Patriotic.

Kila siku Ukrain inapiga refinery za urusi ndani kabisa.
 
Sasa hivi Iran imeshakuwa kichwa cha Mwendawazimu kila mtu anajipigia tu anapotaka!!!
 
Kuna watu bado wanashabikia huu us*nge?!

Mkeka wa EWURA hauwahusu bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…