Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #61
Ceasefire baada ya kuuliwa watu wako muhimu? Alafu hiyo ceasefire gani Kila muda watu wanaingia wanakutwanga hapo hapo kwako?🤣Majibu yake si uliyaona?
Nani aliitisha ceasefire?
Nilitamani waisikie sauti yangu, "MSIKUBALI, MSIWAAMINI WAMAREKANI"Iran hawana akili tikamu, wakiamini kabisa kuwa marekani atawapa Dola billion 300??🤣🤣🤣🤣
Wewe haujajibu swali na sidhani kama ulisoma kwenye hizi Secular Schools.Majibu yake si uliyaona?
Nani aliitisha ceasefire?
Kuna aina nyingi za kujibu maswali, itakuwa uelewa wako wa siasa za mashariki ya kati ni mdogo sana..Wewe haujajibu swali na sidhani kama ulisoma kwenye hizi Secular Schools.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!Tutafanya comeback ya hatari, we subiri.
Viongozi waandamizi wa kijeshi zaidi ya 600 wameuwawa toka mgogoro huu uanze wewe hilo hulijui???Kwanini sasa wameacha kufanya? Warushe hata mchanga tu ndani ya Iran..
Waambie hivi sasa wakaue hata nzi ndanj ya Iran..Viongozi waandamizi wa kijeshi zaidi ya 600 wameuwawa toka mgogoro huu uanze wewe hilo hulijui???
Lengo ni kuharibu uchumi na miundombinu muhimu ya Iran baada ya regime change kufeli.Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭
Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na Aragchi watapona? Au tuanze kutoa RIP in advance? Mashambulizi ya muda huu huko ni moto mabomu yanashushwa si mchezo
Adiosamigo
zitto junior
100 others
Ritz
Mi mi
mdogoee
Khaibar
Echolima1
gTurn
6 Pack
Mlaleo
kimsboy
Khanji kapoor
Mwalimu wa tuisheni
Maangamizi Makubwa ndani ya Iran👇
View attachment 3625347