Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Mmh Leo. Huko Tel Aviv muda huu Kuna mwendawazimu kashuka kwenye train kaanza kuuwa wenzake hovyo hovyo hali ni Tete
 
Daah sema unahasira tu ila mimi ni mdau wa jukwaa hili sana tu nipo hapa 24/7
Nachosema ni kuwa kila siku umekuwa ukituasa tuache kusoma media za western coz zipo kipropaganda na pro Israel so leo naona wewe ndio msomaji mkuu huoni unatuchanganya kwa kuishi nje ya mtizamo wako?
 
Nachosema ni kuwa kila siku umekuwa ukituasa tuache kusoma media za western coz zipo kipropaganda na pro Israel so leo naona wewe ndio msomaji mkuu huoni unatuchanganya kwa kuishi nje ya mtizamo wako?
Nimekwambia nime quote vyombo ambavyo mtaamini kuwa ni taarifa za kweli. Tatizo Nini sasa?
 
Iran wanamuogopa zaid asa uyo Netanyahu mana wanajua uyo Iran anajua vijiwe vya Netanyahu anamo jificha soo Leo uyo mjomba anaweza kufa kabla mauwa ayajafika alipo. Iran uwez mshambulia kutokeambali anaishusha mizigo yote.
 
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.

Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.

Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.

Chanzo: Yediot News Tel Aviv.

Tatizo,ndani ya vikosi vya usalama vya iran,kuna double agent wengi wa mossad,hata kuuwawa kwa nasralah ni hao wairan ndo walichoma kwa mossad,hezibollah imewauma sana,na wameapa kutotoa mipango ya siri kwa vikosi vya usalama vya iran.
 
Rais Putin anakubali sana Rais Biden Rejea interview akihojiwa na mwandishi.ila Benjamin na Putin hawaelewani .Putin ampiga Zelesky ambaye ni Jewish
 
Taarifa zinasema Netanyahu sahizi yupo kwenye Zion wing anasepa. Iran ameshaanza kushusha vitu
 
Iran kuishambulia israel sidhani kama italeta madhara kihivyo ni sababu ya umbali wa Iran hadi Israel unazipita nchi tatu za Syria,Iraq na Jordan ndio kombora litue Israeli na nchi hizo machawa wa israel hasa jordan bila kusahau hapo njiani kutakuwa na US,France,Germany na Uingereza wote hao wanamlinda israel asiguswe hivyo shambulizi litapunguzwa nguvu tu
 
Wewe hapo kwako ulijuaje Nasrallah kauliwa na magaidi ya IDF?
Gaidi ni huyo Nasrallah, hawa wajukuu wa Yakobo wata wawahisha sana hawa majama kwenye mito ya pombe na mabikra kama hawatakuwa makini.

Wanakusoma then wanakukong'ota vizuri tuu, so sad kwa innocent citizens ambao wanatumika kama shelter.
 
Siti ya mbele kabisa😁😁😁😁🔥🔥🔥🔥🔥🚨🚨🚨🚨🚨🚨Tel aviv kuna waka mabomu!!!
 
Screenshot_20241001-194312_Telegram.jpg
Screenshot_20241001-194312_Telegram.jpg
 
Back
Top Bottom