zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona una presha sana kwani katiba mpya ni sababu ya uchaguzi tu? Kuna masuala ya muungano, uwajibikaji, kubana matumizi, kupunguza majimbo n.k why unafikiria kwa angle ya "katiba Ili tuwahi chaguzi". As if katiba ni kwa ajili ya kushinda ubunge na Urais pekee. So myopic thinkingAgain, ningekuwa na hela za kutoa sadaka; nisingesita hata kidogo kutoa sadaka juu ya hili jambo la Katiba Mpya 2025.
Na kwa usahihi, Katiba Mpya inastahiri kuwepo kabla ya 2024 kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wewe jamaa kabla ya kuandika hiyo 2.8years ulifikiria uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, harakati za uchaguzi mkuu 2025 na kuvunjwa kwa bunge? Yaani muda uliopo ni mwaka huu 2023. Kuanzia 2024 kila chama kitakuwa kwenye harakati za uchaguzi na hata bunge halitaweza kupitisha hiyo bajeti ya kushughulikia katiba. Suala la katiba kwa sasa haliwezekani kabisa. CHADEMA walimpuuza sana Zitto aliyeshauri wapiganie kwanza tume huru. Nadhani kwa sasa watakuwa wamemwelewa ila muda sio rafiki tena.Na hapa ndio shida inaanza, nani kakwambia hakuna katiba mpya before 2025? Hii 2023 Bado Ina miezi 8 hapo Bado miaka 2 mingine hivi kweli tukose katiba for 2.8 years?
Tuache pessimism
Acha uongo, walimu na madaktari ni mara ngapi walikua wanaandamana alafu walainika baada ya kupigwa biti?! Hii nchi imejaa waoga hata bila kuhitaji Chadema Kuna mambo basic kma mfumuko wa bei, ukatili wa wanawake, panya road n.k uliwahi ona mtu anaandamana? Sisi ni watu wa NDIO MZEE na ndio maana watawala wanatuburuza wanavyotaka.Swala la waTanzania kuwa "waoga", siyo kweli.
Heshima mkuu 'shinyangakwenu"BASI IGA NA USHOGA UWAFUNDISHE NA WANAO
Sijui wewe umenionaje mimi kuwa na 'pressure' ambayo wewe huna!Mbona una presha sana kwani katiba mpya ni sababu ya uchaguzi tu? Kuna masuala ya muungano, uwajibikaji, kubana matumizi, kupunguza majimbo n.k why unafikiria kwa angle ya "katiba Ili tuwahi chaguzi". As if katiba ni kwa ajili ya kushinda ubunge na Urais pekee. So myopic thinking
Sikumbuki ni mara ngapi umeniita "mwongo" kwenye siku za hivi karibuni.Acha uongo, walimu na madaktari ni mara ngapi walikua wanaandamana alafu walainika baada ya kupigwa biti?! Hii nchi imejaa waoga hata bila kuhitaji Chadema Kuna mambo basic kma mfumuko wa bei, ukatili wa wanawake, panya road n.k uliwahi ona mtu anaandamana? Sisi ni watu wa NDIO MZEE na ndio maana watawala wanatuburuza wanavyotaka.
Kwa hiyo, na ushawishi wote huu, kunahaja gani tena ya chama kwenda kupiga magoti mbele za CCM?Unapimaje ushawishi wa chama bila tume huru? Yaani tukiporwa kura majimbo yote 200+ ndio unaamini hatuna ushawishi? Niambie indicator Moja ya kukosa ushawishi!View attachment 2543239View attachment 2543239View attachment 2543239
Kumradhi kama ni lugha kali lakini sipendi mis-information. Yaani una quantify vipi chama hakuna ushawishi ilihali uchaguzi wa 2015 kilipata mora than 40% ya kura zote. Na 2020 licha ya wizi kilipata zaidi ya 3 million parliamentary votes. Kwa context tu aliyefuatia alikua ACT alliyepata almost laki 2 kwa bara na visiwani!!Sikumbuki ni mara ngapi umeniita "mwongo" kwenye siku za hivi karibuni.
Bila shaka kuna jambo ninalojadili linalokuchoma moyo wako ndani kabisa
Tunaaminika sana na majibu utayapata 2025CHADEMA haiaminiki kwa wananchi, hilo ndilo lingekuwa jambo la kujiuliza sana ndani ya chama.
Panapo majaaliwa, na kama Samia hatagombea, labda!Tunaaminika sana na majibu utayapata 2025
Ushawishi bila tume huru ni kupoteza muda tu, hivi nani alikua na ushawishi zaidi ya Maalim kule zenji ila mbona hakua Rais? Kwa tume hii hata Obama aligombea kupitia Chadema Bado ataangukia pua.Kwa hiyo, na ushawishi wote huu, kunahaja gani tena ya chama kwenda kupiga magoti mbele za CCM?
Nilisha andika humu mara kadhaa "sina sababu yoyote ile, ya kusema uongo, au 'misinform'", sina maslahi na yeyote isipokuwa Tanzania pekee.Kumradhi kama ni lugha kali lakini sipendi mis-information. Yaani una quantify vipi chama hakuna ushawishi ilihali uchaguzi wa 2015 kilipata mora than 40% ya kura zote. Na 2020 licha ya wizi kilipata zaidi ya 3 million parliamentary votes. Kwa context tu aliyefuatia alikua ACT alliyepata almost laki 2 kwa bara na visiwani!!
Ndio..... 2020 tulipoibiwa kura Kuna yeyote alijitokeza Barabarani? Na hili tatizo sio kwa wanasiasa ila hata mambo ya kijamii. Tumeibiwa mabilioni na CCM umewahi ona tunaolalamika? Umewahi ona hata TLS inafungua kesi kupinga tozo? Tuna institutions weak na wananchi weak hawana ujasiri wowote.Unaweza kuniambia halaiki yote hiyo, wote ni "watu waoga"?
Subiri uone uchaguzi wa 2025 ni kama wa 2010 yaani mama anapambania Urais kivyake ila ubunge hakuna mbeleko. Na ndio utaona Red wave ya Chadema ikisambaa kuanzia Kanda ya ziwa Hadi magogoni.Panapo majaaliwa, na kama Samia hatagombea, labda!
Sasa why udanganye hatuna ushawishi, unadhani Rais hajui matokeo halisi ya 2020? Umeona anahangaika na demands za ACT au NCCR??Nilisha andika humu mara kadhaa "sina sababu yoyote ile, ya kusema uongo, au 'misinform'", sina maslahi na yeyote isipokuwa Tanzania pekee.
Mkuu 'zitto jr', hii mifano ulishaitoa humu, na ninarudia tena, siyo mifano inayofanana hata kidogo.Ushawishi bila tume huru ni kupoteza muda tu, hivi nani alikua na ushawishi zaidi ya Maalim kule zenji ila mbona hakua Rais? Kwa tume hii hata Obama aligombea kupitia Chadema Bado ataangukia pua.
So sisi hatujapiga magoti ila tulitafuta suluhu ya kisiasa mezani why ionekane ni defeat. Odinga mbona Alifanya handshake na Kenyatta? Mandela na kina De Klerk? Why kwetu ndio ionekane kusalimu amri as if tumeenda kwenye serikali ya Umoja hivi!!
Siasa sio violence ni majadiliano tu yanatisha ndio maana tuna bunge na mahakama hakuna haja ya kuingia Barabarani kama unachotaka kinapatikana kwenye mifumo rasmi.
Nilishakuelewa juu ya hili; na kusema kweli ndiyo sababu kuu inayofanya tutofautiane sana hivi karibuni.Subiri uone uchaguzi wa 2025 ni kama wa 2010 yaani mama anapambania Urais kivyake ila ubunge hakuna mbeleko. Na ndio utaona Red wave ya Chadema ikisambaa kuanzia Kanda ya ziwa Hadi magogoni.
Sasa mngeshikilia hapo hapo. Mngemshukuru sana kwa yote mazuri aliyofanya kurekebisha maovu mliyofanyiwa na baada ya hapo mkaendelea na safari yenu ambayo tayari ilikuwa inatokota kuifyekea mbali CCM.Sasa why udanganye hatuna ushawishi, unadhani Rais hajui matokeo halisi ya 2020? Umeona anahangaika na demands za ACT au NCCR??
Chadema waligomea task force na Bado Samia akawasikiliza independently alafu unasema hawana ushawishi?