zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mbona una presha sana kwani katiba mpya ni sababu ya uchaguzi tu? Kuna masuala ya muungano, uwajibikaji, kubana matumizi, kupunguza majimbo n.k why unafikiria kwa angle ya "katiba Ili tuwahi chaguzi". As if katiba ni kwa ajili ya kushinda ubunge na Urais pekee. So myopic thinkingAgain, ningekuwa na hela za kutoa sadaka; nisingesita hata kidogo kutoa sadaka juu ya hili jambo la Katiba Mpya 2025.
Na kwa usahihi, Katiba Mpya inastahiri kuwepo kabla ya 2024 kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
