sio mshauri tu gentleman,Umekuwa bwana mshauri , post ya ngapi hii? Waandikie barua
msamaha na maridhiano na uongozi mpya wa chadema upo wazi kabisa, tayari mawasiliono yasiyo rasmi yameshafanyika na uelekeo ni mzuri sana.Kwani covid 19 hawajasamehewa tuu?
ni kweli kabisa gentleman,Huna hadhi ya kujadili mambo ya cdm.
Ungejikita kufanya uchawa tu huko uliko maana ndio unachoweza.
Nadhani Ccm ndio inahitaji maridhiano sababu hata fom hamkutoa,utaratibu ukakanyagwa,ukiuliza unafkuzwa kilingeni!Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.
Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.
Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.
Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.
Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.
Una maoni gani ndugu mdau?π
Mungu Ibariki Tanzania.
Gentleman,Ona hili punga. Maneno mengi lakini zero content.
Ameshindwa kutoa uthibitisho au hata mfano mmoja tu wa huo upuuzi aliouandika.
Kwa mada puuzi kama hizi, hata hiyo book 7 anayolipwa, hastahili.
Mbowe naye ni kama kajienguaBody languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.
Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.
Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.
Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.
Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.
Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.
Una maoni gani ndugu mdau?π
Mungu Ibariki Tanzania.
hebu andikia uzi mahususi gentleman,Nadhani Ccm ndio inahitaji maridhiano sababu hata fom hamkutoa,utaratibu ukakanyagwa,ukiuliza unafkuzwa kilingeni!
Wengi wanagugumia tu!
Ungekuwa na sifa hizo usingekuwa jf kwa fake id unatoa mourn na kutoa unneccesary rants, doesnt work like that mansio mshauri tu gentleman,
ni mwanasiasa mwandamizi mtaalamu mbobevu wa masula ya siasa za ndani ya vyama vya siasa nchini.
mambo haya ni kwa manufaa ya vyama vyote vya siasa, wakishipaza shingo ni hiyari yao π
ntafurahi sana kupungua hata kilo 5 gentleman maana kitambi halafu mtu mrefu naona ni mateso tupu, mazoezi naona yananichosha na kuninenepesha zaidi..Tlaatlaa na mwashambwa huu mwaka mtakonda mtaisha na tutawawekea mawe mfukoni ili msibebwe na upepo, chadema haina mgawanyiko na haupo
mie sina fake id gentleman,Ungekuwa na sifa hizo usingekuwa jf kwa fake id unatoa mourn na kutoa unneccesary rants, doesnt work like that man
Proper way ku kuwaandikia barua. Jf doesnt help
Kumbe kijana mdogo sana, ww umekujia chama dk slaah akiwa kwenye peak? Halaf unajidai unaijua chadema HQ ipi hiyo?mie sina fake id gentleman,
nawafahamu vizuri sana chadema HQ tangu kipindi cha Mzee Slaa, hawaamini kabisa katika barua za wadau hususani za kuwashauri.
Infact,
viongozi wote waandamizi wa chadema wapo humu jukwaani na tunafahamiana vizuri, na nadhani hii ni njia muhimu sana kuwafikishia ujumbe,
hata hivyo nadhani sote tunaona maridhiano yanahitaji kwa haraka sana chadema.hakuna muunganiko wa dhati wa viongozi waandamizi π
mnaanza kutafuta pesa au kuomba na kuwatapeli wananchi maskini?Dada chawa umeingia chooniπ Lissu sasa mwenyekiti na hakuna drama. Mwezi ujao tuna anza kutafuta pesa za kusaidia taifa hili. Mambo yanasonga mbele
sina haja kujisifia,Kumbe kijana mdogo sana, ww umekujia chama dk slaah akiwa kwenye peak? Halaf unajidai unaijua chadema HQ ipi hiyo?
Once again ounguza blah blah. Badala ya kujaza server waandikia barua.