Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

Bajeti inaruhusu?
hilo ni tatizo ambalo hana mpango mkakati nalo kabisa, tegemeo lake kubwa ni mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, but yataingizaje hizo pesa?🐒
 
Gentleman,
mimi ni mtaalamu mbobevu na mshauri muandamizi wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa,

lipo tatizo chadema na panahitajika maridhiano ya haraka sana kuvunja makundi ya kabla ya uchaguzi na kuwaleta pamoja viongozi waandamizi wa chama.

Je, huo ni ushauri mbaya gentleman?🐒
Vp uchaguzi mliyofanya nyie ccm wa kumpitisha mgombea wenu unaona hau hitaji maridhiano?
 
Mwenyekiti anaamini kutumia nguvu tu bila maridhiano ni tatizo kubwa sana
sure,
yaani anaangalia mbele zaidi bila kujua nyuma wanamfuata ama laa,
hawezi kutoboa hata iweje 🐒
 
Kwa CDM changamoto ni kama kweli kauli anazotoa Lissu zinasound vizuri ndani ya CDM?
No Reform no Election hii kauri haijaeleweka!
 
Kwa CDM changamoto ni kama kweli kauli anazotoa Lissu zinasound vizuri ndani ya CDM?
No Reform no Election hii kauri haijaeleweka!
wanajichanganya na kutegeana kuitafsiri 🐒
 
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.

Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.

Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.

Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.

Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.

Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.

Una maoni gani ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe unawaonaga wapi hao wajumbe wa Kamati Kuu ya CDM na nyuso zao? Wacha kuteseka
 
Wewe unawaonaga wapi hao wajumbe wa Kamati Kuu ya CDM na nyuso zao? Wacha kuteseka
ni rafiki zangu,
ni ndugu zangu,
nipo nao mtaani, mikutanoni, vijiweni na hata humu JF wapo na tunajuana vyema gentleman 🐒
 
gentleman,
ungeandika uzi mahususi ingependeza zaidi 🐒
Kama sikosei umejiita mshauri wa vyama vya siasa, lakini nimekuuliza kuhusu vp ccm naona umeruka. Au wewe unashauri CDM tu? Kwa mtu mwenye akili hata za kuvukia barabara tu ameshajua wew ni mtu wa aina gani
 
kama mtaalamu mshauri wa masuala mbalimbali ya kisiasa nchini,
siwezi kuwachanganya wadau kwa kuhamisha mjadala dhidi ya uliopo jukwaani,

bado nasisitiza kuandika uzi mahususi, na ofcoz bila mbambamba yoyote nitaeleza kinagaubaga dhidi ya unachotaka kufahamu kutoka kwangu,

kwasasa ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
 
hilo ni tatizo ambalo hana mpango mkakati nalo kabisa, tegemeo lake kubwa ni mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, but yataingizaje hizo pesa?🐒
Mbowe anasemaje?
 
kama mtaalamu mshauri wa masuala mbalimbali ya kisiasa nchini,
siwezi kuwachanganya wadau kwa kuhamisha mjadala dhidi ya uliopo jukwaani,

bado nasisitiza kuandika uzi mahususi, na ofcoz bila mbambamba yoyote nitaeleza kinagaubaga dhidi ya unachotaka kufahamu kutoka kwangu,

kwasasa ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
Kwani uchaguzi upi ulianza kati ya Ccm na Cdm kwamba mpaka leo madudu ya Ccm hujayaona ila ukaona ya Cdm kwanza? Jitafakari hata kama ni uchawa basi tumia akili usijifanye Lucas Mwashambwa
 
Kwani uchaguzi upi ulianza kati ya Ccm na Cdm kwamba mpaka leo madudu ya Ccm hujayaona ila ukaona ya Cdm kwanza? Jitafakari hata kama ni uchawa basi tumia akili usijifanye Lucas Mwashambwa
halafu gentleman,
mbona masuala ya utekaji yameisha baada ya chadema kumaliza uchaguzi wao wa ndani? na mbona bullet proof vest haivaliwi tena saivi kuelekea chadema HQ?

nini siri ya haya yote gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom