Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

mnaanza kutafuta pesa au kuomba na kuwatapeli wananchi maskini?

una maoni gani dhidi ya mawaidha yangu mujarabu dhidi ya maridhiano ikatumika kuwaleta pamoja viongozi waandamizi wa chama hicho?🐒

Hakuna mpasuko wowote chaguzi zimeisha juzi tu na kunaundwa team ya pamoja. Wenyeviti waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ambao ni bonny yai na sugu walikuwepo kwenye mkutano juzi. Wenje yupo canada ambako familia yake ipo. Sasa mpasuko uko wapi? Mngejikita kwenye sera zaidi maana Lissu na Heche sio Mbowe mkiwapuuza mtajuta na tutaona hapa siku zijazo
 
ni muhimu kujiepusha na imani potofu unaweza kuvujika miguu bure kabisa mateso na mzigo yakawa kwa wazazi na familia 🐒
Kwa hali ya sasa ni ngumu kushawishi maandamano na ukapata watu, ngoja tuone ushawishi wa TAL.
 
Gentleman ni lini ww umeanza kuwa mwema kwa chadema? Au akili zako zimerudi ?
mimi ni rafiki, mtaalamu na mshauri wa kisiasa wa vyama vyote vya siasa nchini,

siwezi kukaa kimya kuona chama fulani cha siasa mambo yakienda kombo. Lazima nipendekeze suluhisho mbadala ili hatimae pawepo na umoja ndani ya vyama vilivyo gawanyika kama chadema chini ya uongozi mpya ilivyo 🐒
 
Hakuna mpasuko wowote chaguzi zimeisha juzi tu na kunaundwa team ya pamoja. Wenyeviti waliokuwa wanamuunga mkono Mbowe ambao ni bonny yai na sugu walikuwepo kwenye mkutano juzi. Wenje yupo canada ambako familia yake ipo. Sasa mpasuko uko wapi? Mngejikita kwenye sera zaidi maana Lissu na Heche sio Mbowe mkiwapuuza mtajuta na tutaona hapa siku zijazo
unakumbuka kabla ya uchaguzi wa ndani ya chadema viongozi na wanachama walishupaza shingo hivyo hivyo na baadae kwa fedhaha sana wakaja kukiri kwamba chadema sio tu kuna migawanyiko bali pia mpasuko na uhasama wa kiwango kibaya sana?🤣

ni muhimu pakawepo maridhiano ya haraka sana, kuwaleta pamoja viongozi na kuvunja makundi ya kabla ya uchaguzi, right?🐒
 
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.

Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.

Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.

Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.

Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.

Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.

Una maoni gani ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kama hayo yanatokea si ndio vizuri kwenu ccm?!!!
 
Kwa hali ya sasa ni ngumu kushawishi maandamano na ukapata watu, ngoja tuone ushawishi wa TAL.
Tatizo lake ni moja tu, mbinafsi mno na mwenye uchu na urais pekee, hababaiki na wala hajishughulishi na udiwani wala ubunge wa wengine 🐒
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.

Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.

Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.

Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.

Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.

Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.

Una maoni gani ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Wewe ni ccm
Mambo ya chadema yanakusumbua na nini?

Yale ndio Maisha Yao, Acha waenjoy Maisha yao
 
Kama hayo yanatokea si ndio vizuri kwenu ccm?!!!
kama mtaalamu,
uzuri ni pale vyama vya siasa vinapokua na umoja ili hatimae kuwepo na united & vibrant opposition,

kinyume na hapo ni ushirkina gentleman 🐒
 
Wewe ni ccm
Mambo ya chadema yanakusumbua na nini?

Yale ndio Maisha Yao, Acha waenjoy Maisha yao
mimi ni mtaalamu mbobevu na mshauri muandamizi wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa, natekeleza wajibu wangu wa kitaalamu tu, tafadhali ndrugu zangu msijenge chuki 🐒
 
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.

Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.

Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.

Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.

Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.

Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.

Una maoni gani ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Mambo ya CDM waachie wao. Wew jikite zaidi kwenye uchawa wako
 
Sawa Afisa Habari Mteule wa CHADEMA!
 
Gentleman,
mimi ni mtaalamu mbobevu na mshauri muandamizi wa masuala ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa,

lipo tatizo chadema na panahitajika maridhiano ya haraka sana kuvunja makundi ya kabla ya uchaguzi na kuwaleta pamoja viongozi waandamizi wa chama.

Je, huo ni ushauri mbaya gentleman?🐒
 
Uko Sawasawa
 
Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema.

Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa chadema, kuaminiana kwa viongozi wapya wa chadema kuna tia mashaka sana, na nikama kuna kamgomo baridi hivi kwa baadhi ya viongozi wa kanda jirani, wilaya na mikoa jirani katika kujitolea kwenye shughuli za chama hususani kwenye kuhudhuria tukio kubwa kama la kumpokea kiongozi wa chadema taifa pale Singida.

Kuna mnyukano na kushughulikiana kimya kimya kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhujumiana au kususiana kwenye kufanikisha agenda za chama. Bilashaka kwenye uchaguzi, hii itakua fimbo muhimu ya kukomoana chadema.

Ni mwendo wa kulazimisha furaha na smile za kinafiki miongoni mwa viongozi waandamizi wa chadema. Unaona kabisa kiongozi wa chadema kashika mike anaongea but mwili uko pale but moyo unawaza kwingineko kabisa.

Ni muhimu sana hatua za makusudi za maridhiano zikachukuliwa ili kuepusha kuumizana wenyewe kwa wenyewe, kitu ambacho pia kitawaharibia na kuwarudisha nyuma wao wenyewe.

Wasione aibu kutumia falsafa ya 4Rs za Dr.Samia Suluhu Hassan zitawasaidia sana kua pamoja.Chadema kuna changamoto ya ummoja.

Una maoni gani ndugu mdau?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
CHADEMA YA SASA HAINA MVUTO
 
Sawa Afisa Habari Mteule wa CHADEMA!
sihusiki na masuala ya habari za chama chochote cha siasa gentleman,

ila nashauri kitaalamu mambo muhimu ya kuwaleta pamoja viongozi waandamizi waliogawanyika ili hatimae wafanye kazi pamoja kwa umoja na uelekeo moja 🐒
 
Usijichoshe huyo ni chawa kitambo sana hata kwenye payroll hayupo ni kima yule wa mbozi mwoshambwa!
naona pwaguzi na pwaguzi mnapeana moyo na kupotoshana kindezi sana, dah!🤣
 
Back
Top Bottom