Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

Bajeti inaruhusu?
hilo ni tatizo ambalo hana mpango mkakati nalo kabisa, tegemeo lake kubwa ni mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, but yataingizaje hizo pesa?πŸ’
 
Vp uchaguzi mliyofanya nyie ccm wa kumpitisha mgombea wenu unaona hau hitaji maridhiano?
 
Mwenyekiti anaamini kutumia nguvu tu bila maridhiano ni tatizo kubwa sana
sure,
yaani anaangalia mbele zaidi bila kujua nyuma wanamfuata ama laa,
hawezi kutoboa hata iweje πŸ’
 
Kwa CDM changamoto ni kama kweli kauli anazotoa Lissu zinasound vizuri ndani ya CDM?
No Reform no Election hii kauri haijaeleweka!
 
Kwa CDM changamoto ni kama kweli kauli anazotoa Lissu zinasound vizuri ndani ya CDM?
No Reform no Election hii kauri haijaeleweka!
wanajichanganya na kutegeana kuitafsiri πŸ’
 
Wewe unawaonaga wapi hao wajumbe wa Kamati Kuu ya CDM na nyuso zao? Wacha kuteseka
 
Wewe unawaonaga wapi hao wajumbe wa Kamati Kuu ya CDM na nyuso zao? Wacha kuteseka
ni rafiki zangu,
ni ndugu zangu,
nipo nao mtaani, mikutanoni, vijiweni na hata humu JF wapo na tunajuana vyema gentleman πŸ’
 
gentleman,
ungeandika uzi mahususi ingependeza zaidi πŸ’
Kama sikosei umejiita mshauri wa vyama vya siasa, lakini nimekuuliza kuhusu vp ccm naona umeruka. Au wewe unashauri CDM tu? Kwa mtu mwenye akili hata za kuvukia barabara tu ameshajua wew ni mtu wa aina gani
 
kama mtaalamu mshauri wa masuala mbalimbali ya kisiasa nchini,
siwezi kuwachanganya wadau kwa kuhamisha mjadala dhidi ya uliopo jukwaani,

bado nasisitiza kuandika uzi mahususi, na ofcoz bila mbambamba yoyote nitaeleza kinagaubaga dhidi ya unachotaka kufahamu kutoka kwangu,

kwasasa ni muhimu kujikita zaidi kwenye hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi πŸ’
 
hilo ni tatizo ambalo hana mpango mkakati nalo kabisa, tegemeo lake kubwa ni mabwenyenye ya magharibi yanayombackup, but yataingizaje hizo pesa?πŸ’
Mbowe anasemaje?
 
Kwani uchaguzi upi ulianza kati ya Ccm na Cdm kwamba mpaka leo madudu ya Ccm hujayaona ila ukaona ya Cdm kwanza? Jitafakari hata kama ni uchawa basi tumia akili usijifanye Lucas Mwashambwa
 
Kwani uchaguzi upi ulianza kati ya Ccm na Cdm kwamba mpaka leo madudu ya Ccm hujayaona ila ukaona ya Cdm kwanza? Jitafakari hata kama ni uchawa basi tumia akili usijifanye Lucas Mwashambwa
halafu gentleman,
mbona masuala ya utekaji yameisha baada ya chadema kumaliza uchaguzi wao wa ndani? na mbona bullet proof vest haivaliwi tena saivi kuelekea chadema HQ?

nini siri ya haya yote gentleman πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…