Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

Aliyekuzaa wewe ana mzigo sana.
Sasa CHADEMA ikifa si ni faida kwa upande mwingine?.
 
halafu gentleman,
mbona masuala ya utekaji yameisha baada ya chadema kumaliza uchaguzi wao wa ndani? na mbona bullet proof vest haivaliwi tena saivi kuelekea chadema HQ?

nini siri ya haya yote gentleman πŸ’
Inawezekana matokeo yako ya kidato cha nne una div.IV:34.
 
Hili ni bandiko lako la 5,000 kuhusu CHADEMA πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜†
 
Inawezekana matokeo yako ya kidato cha nne una div.IV:34.
matokeo ya maridhiano ndani ya chadema kuwarejesha wabunge wa COVID-19 ndani ya chadema gentleman,

wapo Singida na chairman muda huu spirit na nyama zinatafunwa hatari πŸ’
 
Hili ni bandiko lako la 5,000 kuhusu CHADEMA πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜†
wabunge wa COVID-19 KUPOKELEWA CHADEMA HQ soon as possible,

wapo Singida muda huu na chairman wanapiga vyombo na nyama vya kutosha πŸ’
 
Hili ni bandiko lako la 5,000 kuhusu CHADEMA πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€πŸ˜†
wabunge wa COVID-19 KUPOKELEWA CHADEMA HQ soon as possible,

wapo Singida muda huu wanapiga vyombo na nyama πŸ’
 
Aliyekuzaa wewe ana mzigo sana.
Sasa CHADEMA ikifa si ni faida kwa upande mwingine?.
kitaalamu ni hasara kwa ustawi wa demokrasia,
ndiyo maana wabobevu tunashauri maridhiano ili pawepo umoja ndani ya vyama vya siasa nchini.

Tz requires United and vibrant opposition, sio utapeli wa vibaka wa siasa πŸ’
 
Hivi mnataka nchi ya namna gani ?
Chadema wametuonyesha njia ya demokrasia na uchaguzi huru na wa Haki.

Kwenye uchaguzi wowote ni lazima mshindi apatikane Hata kwa kura mbili.

Na anayeshindwa hawezi kushangilia bali anahuzunika .
Huo ndio uchaguzi .
Demokrasi gharama yake ndiyo hiyo kushindwa na kukubali kushindwa.
Duniani kote uchaguzi unapoisha wanaoshabikia ni sale walio shida . Mambo ya maridhiano ni upuuzi .Maridhiano ni ngonjera za CCM kutokana na kutesa wetu ,kuua,kuteka wetu ,kuiba kura ,kuengua wagombea na kila aina ya dhululuma . Sasa hapo CCM wakaona aibu kua wamefanya uovu mbaya . Hata hivyo maridhiano ya upende mmoja sio maridhiano bali ni sakosaji walitakiwa waombe msamaha .

Samia alitakiwa aseme tusameheane sio maridhiano .

Maridhiano hua inaundwa tume kabisa ili kupaanisha pande mbili zilizoumizana kwa ubaya.

maridhiano yanatakiwa yawe ya wazi na yawahusu walioumizwa na pia familia zao.
Maridhiano ya Chadema na CCM yamezaa matunda gani kama CCM wenyewe hawana uvumilivu.
Yaani kwa miaka 30nm CCM na serikali yake wamekua wakiwaumiza Chadema halafu leo bado eti Njooni tuzungumze?
Mazungumzo ya Simba na Swala ni Hadaa.
 
wameonyesha njia ipi na hali ya kua wanahujumiana kwa makusudi, wamegawanyika kwa chuki na uhasama wa kiwango kibaya sana dhidi yao wenyewe gentleman?

mbona unapotosha wadau gentleman?πŸ’
 
wameonyesha njia ipi na hali ya kua wanahujumiana kwa makusudi, wamegawanyika kwa chuki na uhasama wa kiwango kibaya sana dhidi yao wenyewe gentleman?

mbona unapotosha wadau gentleman?πŸ’

Hakuna chuki bali ni majuto ya kushindwa . Ni jambo la kawaida kwenye Chaguzi ndio maana hata CCM wenye dola lakini wanaogopa uchaguzi kwa sababu wao hua wanahama kabisa chama na wengine kuunda vyama pale wanaposhindwa.

Kwa siasa za Afrika Chadema wamefanya vizuri sana sana sana haijawahi kutokea .

Mbowe anajivunia chama alipokifikisha pamoja na kushindwa
 
halafu gentleman,
mbona masuala ya utekaji yameisha baada ya chadema kumaliza uchaguzi wao wa ndani? na mbona bullet proof vest haivaliwi tena saivi kuelekea chadema HQ?

nini siri ya haya yote gentleman πŸ’
Ntakujibu wala usijali, jibu kwanza swali langu, kati ya uchaguzi wa Ccm na Chadema hupi ulianza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…