Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

Naomba yaarabbi akujalie kilema chá maisha kwa sababu ya dhihaka unayoifanya.


Alikugaidia mama yako alipotaka kumgonga ndio ukasema ni gaidi?
Kengeza tu huyo anapigwa mituringa na wahuni wa ulaya, tena inabidi afe kabla yako ili machungu yakuingie, hana jipya na ngoja kesi ya ugaidi irudishwe ahukumiwe kunyongwa mpaka kufa. NB: aliyeanzisha siasa za chuki na muasisi wa hizi siasa ni mbowe na genge lake. Na juzi hapa kaanzisha mambo ya uzanzibar na utanganyika. Tukiwapa dozi mnaanza kulalamika, ni huyu huyu kengeza aka punga aka shoga kengeza alianzisha kampeni ya kumtusi JK mpaka mkamuita eti dhaifu. Mvumilie tu lasivyo muombe msamaha ili turejee maadili ya kitanzania lasivyo huyu kengeza anapaswa arudishwe gerezani kwa ugaidi
 
Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.

Mary Chatanda alikuwa ni mbunge vitu maalum anatoka Korogwe Tanga, kimsingi baraza la madiwani analopaswa kuingia ni la Korogwe.

Baada ya Ccm Arusha mjini kuzidiwa column na madiwani wa Chadema ni wazi meya lazima atoke Chadema ndio from no where kwenye uchaguzi wa mega akatokea huyu mshirikina Mary Chatanda akatangazwa ni mjumbe wa baraza la madiwani Arusha wakati ubunge wake smeupatia Korogwe Tanga.

Muuwaji yaliyotokea Arusha mjini na damu zilizomwagika huyu mshirikina hazitomuacha Salama, ni swala la muda.

Nilishangaa sana kusikia eti Mary Chatanda ndio amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa wanawake wa Ccm, inasikitisha sana.

Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlilia na zitamuandama mpaka kaburini.

Watu kama Mary Chatanda wakifa Mimi kwangu ni sherehe nanunuwa maini na kufunguwa Champagne kabisa.
Pia chatanda alikuwepo kwenye kumpiga jiwe kada wa chadema Arnold swai kule dodoma 2013
Screenshot_20230718-010558_1.jpg
 
sasa kama mwenyekiti ndio yupo hivi Je akina suphian watakuwaje thinkerly??
 
Mbona hamkumfunga sasa kama alikua gaidi
We ni matako ya fisi pori huna akili kabsaaa
Hii nchi inamijitu mijinga kweli tatizo hamna hoja za kuwapinga hao wapinzani wenu
Pumbavu kabsaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe naye acha kubishana na mtu anayesubiri dada yake auze papuchi ndipo wapate pesa ya kuka
 

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.


Chanzo: Jambo TV
Hana hoja...!!
 
Back
Top Bottom