Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
low mind ya namna hii ndiyo mwenyekiti wa jumuiya nyeti ya chama?
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.
Chanzo: Jambo TV
Siasa haina mipaka....kilichopo ni kubaini "yapi" ni ya siasa na yapi ya kitaalamu....Ok ndugu yangu hata huko kwa wenzetu siasa ina mipaka na utaalam una nafasi sio kama huku banana Republic
Argumentum ad hominem [emoji1787]Utakuwa mnufaika wa 35%. Sio bure
Yeye Mbowe ndiye aliyefichiwa mengi.....Kwan gerezan aliwekwa na nani? Msitukane sana mbowe amewafichia mengi sana akiyabwaga mtaumbuka machawa na chama chenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwemaArgumentum ad hominem [emoji1787]
Nawe "pinga pinga" una chako asilimia ngapi ?!! [emoji1787]
Exactly. Kilichobaki ni maito ya ole Sabaya tu la sivyo angenyongwa au at least miaka 7 for attempted murder, amshukuru Afande Kingai na Afande Jumanne kuwakamata wakiwa njiani kwenda kuua. Mama akaona huruma, la sivyo Mahakama tayari ilikuwa imemkuta ana kesi ya kujibu. Hana shukurani, Mary Chatanda is quite right.Yeye Mbowe ndiye aliyefichiwa mengi.....
🤣🤣🤣Kumbe ni mshirikina🤔Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.
Mary Chatanda alikuwa ni mbunge vitu maalum anatoka Korogwe Tanga, kimsingi baraza la madiwani analopaswa kuingia ni la Korogwe.
Baada ya Ccm Arusha mjini kuzidiwa column na madiwani wa Chadema ni wazi meya lazima atoke Chadema ndio from no where kwenye uchaguzi wa mega akatokea huyu mshirikina Mary Chatanda akatangazwa ni mjumbe wa baraza la madiwani Arusha wakati ubunge wake smeupatia Korogwe Tanga.
Muuwaji yaliyotokea Arusha mjini na damu zilizomwagika huyu mshirikina hazitomuacha Salama, ni swala la muda.
Nilishangaa sana kusikia eti Mary Chatanda ndio amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa wanawake wa Ccm, inasikitisha sana.
Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlilia na zitamuandama mpaka kaburini.
Watu kama Mary Chatanda wakifa Mimi kwangu ni sherehe nanunuwa maini na kufunguwa Champagne kabisa.
🤣🤣 Kwahiyo saivi mahakama ni mama?Exactly. Kilichobaki ni maito ya ole Sabaya tu la sivyo angenyongwa au at least miaka 7 for attempted murder, amshukuru Afande Kingai na Afande Jumanne kuwakamata wakiwa njiani kwenda kuua. Mama akaona huruma, la sivyo Mahakama tayari ilikuwa imemkuta ana kesi ya kujibu. Hana shukurani, Mary Chatanda is quite right.
Bora wetu alishatangulia mbele za haki huyo kengeza wenu there is a day! Idiot wakubwa kabisa.Shetani yoyote lazima adhihakiwe.
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
ukishabikia ccm lazima una matatizo ya ubongo hawa watu ni majizi yanawaza matumbo yao tu.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.
Chanzo: Jambo TV
Yaani Samiah amweke Mbowe gerezani kwa kesi ya kipumbavu na kumtoa halafu uje na porojo za kutaka Mbowe amshukuru msaliti wa uhai wa Mbowe na familia yake.Hivi inaingia akilini kweli?
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli
Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.
Chanzo: Jambo TV
Chatanda ni mwongo; Mbowe hakuwekwa ndani wakati wa Magufuli bali aliwekwa na Samia huyo huyo na ndiye akamuandoa.

Na wewe unafikiri una akili sawasawa?Nenda chato ukazikwe nae. Garapummpu wewe
Kwani alimtoa gerezani kisiasa? Wengi tuliona alikaa gerezani kwa kuonewa.