Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

Mbowe alipewa kesi ya ugaidi julai 2021, serikali iliyokuwa madarakani ni ya Samia. Samia huyo huyo akaifuta kesi baada ya kuona Mbowe atashinda na itakuwa aibu kwa serikali.
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
 
Nadhani CCM wote wamechanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.

Mary Chatanda alikuwa ni mbunge vitu maalum anatoka Korogwe Tanga, kimsingi baraza la madiwani analopaswa kuingia ni la Korogwe.

Baada ya Ccm Arusha mjini kuzidiwa column na madiwani wa Chadema ni wazi meya lazima atoke Chadema ndio from no where kwenye uchaguzi wa mega akatokea huyu mshirikina Mary Chatanda akatangazwa ni mjumbe wa baraza la madiwani Arusha wakati ubunge wake smeupatia Korogwe Tanga.

Muuwaji yaliyotokea Arusha mjini na damu zilizomwagika huyu mshirikina hazitomuacha Salama, ni swala la muda.

Nilishangaa sana kusikia eti Mary Chatanda ndio amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa wanawake wa Ccm, inasikitisha sana.

Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlilia na zitamuandama mpaka kaburini.

Watu kama Mary Chatanda wakifa Mimi kwangu ni sherehe nanunuwa maini na kufunguwa Champagne kabisa.
 
Huyu ndiye aliyesababisha umwagaji damu Arusha muwe mnatunza kumbukumbu vizuri ili tuje kupeana hukumu ya haki.

Mary Chatanda alikuwa ni mbunge vitu maalum anatoka Korogwe Tanga, kimsingi baraza la madiwani analopaswa kuingia ni la Korogwe.

Baada ya Ccm Arusha mjini kuzidiwa column na madiwani wa Chadema ni wazi meya lazima atoke Chadema ndio from no where kwenye uchaguzi wa mega akatokea huyu mshirikina Mary Chatanda akatangazwa ni mjumbe wa baraza la madiwani Arusha wakati ubunge wake smeupatia Korogwe Tanga.

Muuwaji yaliyotokea Arusha mjini na damu zilizomwagika huyu mshirikina hazitomuacha Salama, ni swala la muda.

Nilishangaa sana kusikia eti Mary Chatanda ndio amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa wanawake wa Ccm, inasikitisha sana.

Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlili na zitamuandama mpaka kaburini.

Watu kama Mary Chatanda wakifa Mimi kwangu ni sherehe nanunuwa maini na kufunguwa Champagne kabisa.
Sasa asidhani watu wamesahau, damu za watu zinamlili na zitamuandama mpaka kaburini.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Mbona hamkumfunga sasa kama alikua gaidi
We ni matako ya fisi pori huna akili kabsaaa
Hii nchi inamijitu mijinga kweli tatizo hamna hoja za kuwapinga hao wapinzani wenu
Pumbavu kabsaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu sasa naona ni mnara wa Babeli. Huyu aliyewatuma CCM waende kutoa elimu juu ya uwekezaji wa DP World bila kwanza kuwapa semina elekezi na kuchuja wana CCM wenye uwezo wa kutoa elimu kwa kweli amekikosea chama. Hivi mjumbe kama huyu anayekwenda kutoa elimu kwa watu halafu hana hata kumbu kumbu ya jambo kubwa kama kesi ya Mbowe tena ni ya juzi tu akiulizwa maswali ataweza kweli kujibu kwa ufasaha?

Mbowe alikamatwa kipindi cha raisi Samia na kesi yake ilendeshwa hadharani na ilikuwa kesi iliyofuatiliwa na watanzania wengi sana kupitias vyombo vya habari na mitandaoni. Kwa aliye akaribu na huyu mama amjulishe kuwa amepuyanga vibaya sana kwani Magufuli hakuhusika na kesi ya Mbowe kabisa tena aachwe apumzike kwa amani.

Kwenye huu mkataba wa DP World ingependeza zaidi serikali ikakaa chini na kuangalia vifungu tata kama vipo ikakubali kuwa imekosea then vikarekibishwa tusonge mbele kama taifa tukiwa wamoja. Lakini hii kushupaza shingo na kujaribu kupotosha sidhani kama tunajenga nchi badala yake tunazidi kuibomoa nchi ndio maana kila siku hoja ya Tanganyika huru na Zanzibar yenye mamlaka zinazidi kupata nguvu na kufanya muungano wetu kuwa shakani. Lakini bado serikali imelala na kuona hili jambo ni dogo.

Swali la msingi; hivi kweli huo mkataba upo sahihi kwa asilimia 100. Kama jibu ni hapana basi serikali ibadilishe hivyo vifungu tata hoja zifungwe tuendelee na mambo mengine. Na kama jibu ni ndio basi hakuna haja ya kuwalipa watu posho wazunguuke kutoa elimu tena kwa kutumia pesa inayotokana na tozo na kodi wanazotozwa wananchi. Kama kweli mkataba upo sahihi serikali isipoteze muda kwa madai ya uongo yanayotolewa na watu wanaosema kuwa haupo sahihi badala yake ijikite kwenye kuhudumia wananchi wenye shida ya maji, madarasa, nyumba za walimu, vituo vya afya, n.k.

Ni mtizamo tu.
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV
Hivi kweli watu wakiwaona mpo empty kichwan still mtaona mmeonewa? Kweli hii ni kitu ya kuongea public toka kwa mwenyekiti? Anamu address vp Rais juu ya kumtoa gerezani gaidi tena personal bila hukumu ya Mahakama? Kweli vetting ni muhim but ni nan wa kufanya hiyo vetting? Jibu ni hakuna!!
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Chanzo: Jambo TV
Hivi kilichomtoa mbowe gerezani ni Raisi au ni Sheria za nchi?
 
Ujinga wa kiwango cha PHD, kwa hiyo kumtoa ilikuwa ni corruption. ?
 
Mbowe gaidi linapaswa lihukumiwe kunyongwa mpaka kufa kabisa na mzoga wake upewe fisi wa hai. Mpaka siku atakapoomba msamaha juu ya dhihaka yake kwa Dkt Magufuli he will never settle huyu kengeza mpuuzi
Hoja ndo hizi kwa sasa? Huu mkataba utupilieni tu mbali ili msiendelee kuchanganyikiwa
 
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda mrefu tangu kipindi cha utawala wa serikali ya awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati Dkt.John Pombe Magufuli

Akizungumza kwenye Mkutano wa hadhara Mkoani Lindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake kwenye mikoa ya Kusini mwa Tanzania Chatanda ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM amesema, hivi karibuni Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amekuwa akimtukana Rais Samia kwa kueleza kuwa ameuza nchi jambo ambalo halina usahihi na linachonganisha Wananchi, hivyo kutoa wito kwa Wananchi hao kuwapuuza na kutowasikiliza pale watakapoitisha mikutano yao

"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."

Ameendelea kueleza kuwa kinachotokea kwa Mbowe sasa inawezekana ameathirika kisaikolojia baada ya kuwa jela kwa muda mrefu hivyo alipaswa kutulia kwakuwa jela kuna mambo mengi.

Jambo TV
 
Back
Top Bottom