Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

Bro samahani naomba nkuulize

Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?
 
huiwezi yanga hata kidogo
 
Acha uongo Genta, mi nimeenda sana Kigali na sehemu nyingi karibu wote wanaelewa Kiswahili.
 
Wanyarwanda Kiingereza chao ni cha kuungaunga kama Watz tu, ila ukiwa unajua Kiha, au Kihaya unaongea nao, Kiswahili pia wengi wanakijua..

Hata hivyo siku hizi kuna Google Translate, msiwe washamba

Sasa sijui Wewe huwa husikilizi Clouds FM inahusiana vipi na Mada ( Hoja ) iliyoko? Halafu nikiwadharau na Kuwaiteni Fools mnachukia.
 
Acha uongo Genta, mi nimeenda sana Kigali na sehemu nyingi karibu wote wanaelewa Kiswahili.
Mada ( Hoja ) iliyoko ni Mashabiki wa Yanga SC kutokujua Lugha ya Kiingereza au hii yako ya Kiswahili?

Punguza Ujuha na Kiherehere sawa?
 
Wanyarwanda Kiingereza chao ni cha kuungaunga kama Watz tu, ila ukiwa unajua Kiha, au Kihaya unaongea nao, Kiswahili pia wengi wanakijua..

Hata hivyo siku hizi kuna Google Translate, msiwe washamba

View attachment 2750811
Haya wana Yanga SC mmemsikia Johnny Sack kawaambia msiwe Washamba na kwamba Google Translator ipo na iwasaidieni Kuombea 'Kiuhuruma' Ugali na Tembele kwa Wanyarwanda huko Ugenini Kigali mliko ili msife na Njaa?
 
Bro samahani naomba nkuulize

Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?
Una maoni gani kwa Members wanaonianza na Kutwa tu Wananitukana na Kunidhalilisha hapa JamiiForums?

Mnafiki mkubwa Wewe....!!
 
Lengo lako ni kuiponda tu YANGA.....simba mara ngapi analia uarabuni huko hizo ni hujma tu ata wao wakija huku wanafanyiwa hivo hivo ata kama wanajua kiingerza
 
GENTAMYCIME kubali yaishe. Nilienda kwenye mkutano wa wiki nzima nikaanza na English sikupata ushirikiano restaurant, lodge, bureau, vijiwe vya bodaboda na daladala. Ukiongea Kiswahili tu hukosi wale wa kuungaunga mpaka mkaelewana. Wao ni French na Kinyarwanda. Baadhi wanasikia Kinyankole, Kihaya, Kiha na Lingala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…