Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau na kuwajibu hovyo hapa JamiiForums mnakasirika.

Nimemnukuu Mtangazaji wa Clouds FM Yahaya Njenge ( alias ) Mkazuzu aliyeko Kigali Rwanda akiongea kwa Simu moja kwa moja na ndiyo Kasema kuwa moja ya Changamoto ambayo Mashabiki wengi wa Yanga SC walioenda Rwanda wanaipata ni Kuzungumza Lugha ya Kiingereza hasa wanapokuwa Wanakodi Taxi kwa mizunguko.

Bado hujachelewa Kuniomba Radhi kwa kusema GENTAMYCINE nimeleta Taarifa ya Uwongo na kama kuna Kitu huwa najiamini nacho na kinanipa Kiburi ni kuwa na Uhakika wa kile ninachokileta hapa JamiiForums sawa?

Huna Akili....!!

Bro samahani naomba nkuulize

Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?
 
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu zilizopita.

Kwahiyo mlidhani huko Rwanda wanaongea Kiswahili chenu cha Kariakoo na mkajazana kwa Uwingi kama Magunia ya Mahindi ya MUYAMA ONE katika Mabasi yenu 30 na kwenda wakati Wenzenu wanaongea Kifaransa msichokijua kabisa na Kiingereza ambacho Kinawatesa sasa huko Ugenini Israeli ya Afrika Rwanda?

Mashabiki wa Simba SC wanakubalika na wanaheshimika nchi zote wanazoenda kwakuwa kuanzia Wachezaji, Mashabiki na Viongozi wote wanaongea vyema kabisa Lugha ya Kiingereza tofauti na Wapuuzi Waliofurika Kigali Rwanda kumbe Kiingereza kinawapa shida na sasa Madereva wa Taxi wanawapiga tu kwa Kuwatoza Gharama ya Juu kwa safari fupi fupi tu za Viunga vya Jiji la Kigali.

Kudadadeki......!!
huiwezi yanga hata kidogo
 
Acha uongo Genta, mi nimeenda sana Kigali na sehemu nyingi karibu wote wanaelewa Kiswahili.
 
Wanyarwanda Kiingereza chao ni cha kuungaunga kama Watz tu, ila ukiwa unajua Kiha, au Kihaya unaongea nao, Kiswahili pia wengi wanakijua..

Hata hivyo siku hizi kuna Google Translate, msiwe washamba

Screenshot_20230916-095642.png
 
Mimi siwezi kuwatafuta watu waliokuja mjini ukubwani. Mimi ni mtoto wa mjini huwa siwasikilizi hao jamaa, nimeanza kuangalia mpira kwenye magazeti ya Uingereza tulikwa tunaletewa na mabaharia kabla DSTV haijaanza kurusha Premier. Nimemuona Isega, mahadhi, nyaga wakidaka na Chuma siku anastaafu Taifa nilienda na baba yangu.
Usiniambie habari za clouds, hao mimi huwa hata siwasikilizi au sijui kumwembo na double striker sijui diamond formation bull$hit.
Huku kuna Nyerere, Kikwete huko mna Kawawa na Al- marhum. Tuna hersi na Arafat nyie Mna Tarza na Mhene angalia CV hazi-match.
Halafu kuna mimi na wewe. C'mon bruh!
Sasa sijui Wewe huwa husikilizi Clouds FM inahusiana vipi na Mada ( Hoja ) iliyoko? Halafu nikiwadharau na Kuwaiteni Fools mnachukia.
 
Acha uongo Genta, mi nimeenda sana Kigali na sehemu nyingi karibu wote wanaelewa Kiswahili.
Mada ( Hoja ) iliyoko ni Mashabiki wa Yanga SC kutokujua Lugha ya Kiingereza au hii yako ya Kiswahili?

Punguza Ujuha na Kiherehere sawa?
 
Wanyarwanda Kiingereza chao ni cha kuungaunga kama Watz tu, ila ukiwa unajua Kiha, au Kihaya unaongea nao, Kiswahili pia wengi wanakijua..

Hata hivyo siku hizi kuna Google Translate, msiwe washamba

View attachment 2750811
Haya wana Yanga SC mmemsikia Johnny Sack kawaambia msiwe Washamba na kwamba Google Translator ipo na iwasaidieni Kuombea 'Kiuhuruma' Ugali na Tembele kwa Wanyarwanda huko Ugenini Kigali mliko ili msife na Njaa?
 
Bro samahani naomba nkuulize

Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?
Una maoni gani kwa Members wanaonianza na Kutwa tu Wananitukana na Kunidhalilisha hapa JamiiForums?

Mnafiki mkubwa Wewe....!!
 
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu zilizopita.

Kwahiyo mlidhani huko Rwanda wanaongea Kiswahili chenu cha Kariakoo na mkajazana kwa Uwingi kama Magunia ya Mahindi ya MUYAMA ONE katika Mabasi yenu 30 na kwenda wakati Wenzenu wanaongea Kifaransa msichokijua kabisa na Kiingereza ambacho Kinawatesa sasa huko Ugenini Israeli ya Afrika Rwanda?

Mashabiki wa Simba SC wanakubalika na wanaheshimika nchi zote wanazoenda kwakuwa kuanzia Wachezaji, Mashabiki na Viongozi wote wanaongea vyema kabisa Lugha ya Kiingereza tofauti na Wapuuzi Waliofurika Kigali Rwanda kumbe Kiingereza kinawapa shida na sasa Madereva wa Taxi wanawapiga tu kwa Kuwatoza Gharama ya Juu kwa safari fupi fupi tu za Viunga vya Jiji la Kigali.

Kudadadeki......!!
Lengo lako ni kuiponda tu YANGA.....simba mara ngapi analia uarabuni huko hizo ni hujma tu ata wao wakija huku wanafanyiwa hivo hivo ata kama wanajua kiingerza
 
GENTAMYCIME kubali yaishe. Nilienda kwenye mkutano wa wiki nzima nikaanza na English sikupata ushirikiano restaurant, lodge, bureau, vijiwe vya bodaboda na daladala. Ukiongea Kiswahili tu hukosi wale wa kuungaunga mpaka mkaelewana. Wao ni French na Kinyarwanda. Baadhi wanasikia Kinyankole, Kihaya, Kiha na Lingala.
 
Back
Top Bottom