kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Halafu GENTAMYCINE nikiwadharau na kuwajibu hovyo hapa JamiiForums mnakasirika.
Nimemnukuu Mtangazaji wa Clouds FM Yahaya Njenge ( alias ) Mkazuzu aliyeko Kigali Rwanda akiongea kwa Simu moja kwa moja na ndiyo Kasema kuwa moja ya Changamoto ambayo Mashabiki wengi wa Yanga SC walioenda Rwanda wanaipata ni Kuzungumza Lugha ya Kiingereza hasa wanapokuwa Wanakodi Taxi kwa mizunguko.
Bado hujachelewa Kuniomba Radhi kwa kusema GENTAMYCINE nimeleta Taarifa ya Uwongo na kama kuna Kitu huwa najiamini nacho na kinanipa Kiburi ni kuwa na Uhakika wa kile ninachokileta hapa JamiiForums sawa?
Huna Akili....!!
Bro samahani naomba nkuulize
Ni kwanini umjibupo mtu lazima umtukane hata kama yeye hakukutukana?