Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Halafu ni hatari kuitangazia dunia kuwa wakuu wa majeshi wote wapo nje ya nchi.1. Rais, hayupo nchini yupo nje
2. CDF, hayupo nchini yupo nje
3. IGP, hayupo nchini yupo nje
Hii maana yake Nini?, lango liko wazi..nchi Haina mwenyewe wakati huu. Maadui wa nchi hawawezi kutumia mwanya huu kweli
Hakuna anayesubiriwa hapo. Lissu ataendelea kukaa jela Hadi baada ya uchaguzi 2030.kwahiyo itakuaje hapo sasa,wanasubiriwa ?
Waje na passport zao tuhakiki.Tutawaomba barua za ruhusa siku wakirudi.
Kumbe wanaogopa kuhojiwa....kwasasa ile gari ya CDF ya nyota NNE itafichwa ndani ya maji. Rahaa sana
Hakuna hatari yoyote kwa Tanzania. Rais yupo eda 120 days.Halafu ni hatari kuitangazia dunia kuwa wakuu wa majeshi wote wapo nje ya nchi.
Sana, yaani kuitaarifu Dunia waziwazi kuwa wakuu wote hawapo, huyu Yuko Zanzibar na haijulikani atakuja lini, Hawa wengine wawili nao hawajulikani warudi lini nchini...hata kama hawana nguvu ila tutakuja kufa vibaya sanaHalafu ni hatari kuitangazia dunia kuwa wakuu wa majeshi wote wapo nje ya nchi.
Na watabaki huko mpaka 2030 😂😂😂How convenient 🤣
Naona kama lissu anaenda kusogeza kete nyingine😀..kwanza wanaweza kumuita Kamishna Mkuu wa Uhamiaji athibitishe.
..pili wanaweza kuwaita wanaokaimu nafasi zao wakati wao wako nje.
Wamechimba ma top bosses wote wa ulinzi na usalama aibu sanaHow convenient 🤣
Tulisema hili mapema ,wajuzi wa mambo tuliliona hili mapema mno guess what Case ishaisha hapo .Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Yani wote wameicha nchi sasa sijui italindwa na nani 😂😂Waliambiana wote watatu?
Wapi mkuu Ngerengere.Hawajasafiri wamejificha mahala...
Ndejembi yupo.Na Rais yupo eda sa itakuwaje nchi inajiendea ka jumba bovu
Na wao watabaki huko huko.Imeisha hiyo hadi mwakani.