The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Wakakuja tuMhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Hii ni mbinu chafu inayotumiwa na maCCM kuendelea kumtesa Lissu gerezani. Wote wanaofanya njama hizi Mungu anawaona na atawaadhibu kadri ya uovu wenu. Mungu hajawahi kushindwa kitu chochote.Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
π€£Dah kesi imefanya hadi viongozi wa usalama wanaingia mitini
Kweli Bongotunacheza
Naona kama lissu anaenda kusogeza kete nyingineπ
Inaonekana hufuatilii kesi. Mahakama imesema mwisho wa kesi ni tarehe 28, na Lissu amesema akijitokeza Mmoja wao akaeleweka anaweza kuwasamehe hao wengine wawili waliobakiHakuna anayesubiriwa hapo. Lissu ataendelea kukaa jela Hadi baada ya uchaguzi 2030.
Wasionekane hata sokoniNa watabaki huko mpaka 2030 πππ
Naona kama lissu anaenda kusogeza kete nyingineπ
Lissu aombe RB kama summons watazikataa πππWasionekane hata sokoni
Inaonekana hufuatilii kesi. Mahakama imesema mwisho wa kesi ni tarehe 28, na Lissu amesema akijitokeza Mmoja wao akaeleweka anaweza kuwasamehe hao wengine wawili waliobaki
Wapo hapo hapo bongo kwenye kwenye joto chafu. Hii tumeisema tu kubuy buy time wakati tunatafuta sababu properly ya kuikimbia hii kesiWakuu wa usalama karibu wote hawapo vituo vyao vya kazi .
Ni sababu gani ya lazima wote wawe nje ya nchi, na kiusalama hatari yake ipo je?
Aibu kubwa.serikali kupitia DPP ondoeni hiyo kesi hapo High Court !
mmesababisha wakuu wa vyombo wanaficha.! aibu naona mimi
Pamoja na kuwa Katuga ni mwanasheria wakili hivi hajui kuwa summons ni mali ya mahakama...hao majamaa ni kweli wapo nje ya nchi, au wamegoma kutokea mahakamani?
..mahakama itaamua nini ikiwa majamaa hayataki kuja kutoa ushahidi?
..Nimeona Katuga anajaribu kusema hao majamaa kuja mahakamani ni jukumu la mshitakiwa, sio mahakama.
Sasa inafikirisha kwanini Katuga aliibua hoja hiyo. Kwasababu mahakama ilifanya uamuzi wa kuwapelekea majamaa wito. Na Majaji walieleza sababu kama sijakosea.
Unaweza kuona jamaa akaomba mahakama imuite huyu kamishna wa uhamiaji aje kuthibitisha kama hao jamaa wameenda nje kweli au lah. Akaomba na vigogo wengine zaidi, vigogo zaidi Ki-nafasi zao au ki-kimajukumu wakajikuta wameingia kwenye chain ya kuitwa mahakamani π..utakuwa sahihi.
..nadhani jamaa yuko hatua nyingi mbele.
ni mawazo yakoHakuna anayesubiriwa hapo. Lissu ataendelea kukaa jela Hadi baada ya uchaguzi 2030.