Mashahidi watatu wa Lissu waliobaki (IGP, CDF na DCI) wote wapo nje ya nchi

Hapa ndipo mahakama ilizingua sana. Hata wakitoa hukumu ya mchongo, Lissu akikata rufaa kwa ground ya mahakama ilizuia mashahidi muhimu hukumu itapigwa chini.
 
Wewe wasema. Ila summons inatolewa na mahakama na usipoheshimu summons mahakama itatoa amri ukamatwe ili ifike kutoa ushahidi na pia inaweza kukuhukumu kwa kosa la kudharau mahakama.
 
Kwamba wote wameenda nje ya nchi😂
 
Hapa ndipo mahakama ilizingua sana. Hata wakitoa hukumu ya mchongo, Lissu akikata rufaa kwa ground ya mahakama ilizuia mashahidi muhimu hukumu itapigwa chini.
akikata rufaa wataichelewesha, maana toka awali ni wazi kuwa nia yao ni kuendelea kumshikilia, maana si kwamba hawajui kuwa hakuna kesi ya msingi hapo,

Mungu wa mbinguni ni Mungu wa wanaoonewa siku zote
 
🤣🤣🤣😅AIBU ya mwaka hii...matahira wa Samia wameanza kuchochora polepole....mamayo zao.
 
1. Mahakama ijulishwe rasmi walipo na sababu ya kutokuwepo
Kama wako kwenye safari rasmi za kikazi, serikali inaweza kuwasilisha taarifa hiyo Mahakamani. Jambo muhimu ni kutenganisha kutokuwepo kwa sababu halali ya kikazi na kukwepa wito wa Mahakama.

2. Kuomba tarehe maalum ya kurejea na kutoa ushahidi.
Ikiwa wako nje kwa majukumu rasmi, Mahakama inaweza kupewa ratiba yao na kupanga siku ambayo wataweza kufika. Hii inalinda haki ya utetezi bila kuingilia majukumu yao ya kitaifa.
 
Kuna dalili nchi ikakaa bila CDF na IGP!
Kisa ,wamekimbia kutoa ushahidi mahakamani

Bibi akitoka Eda, nani anakwenda kulala chamwino usiku huyo,kuifuta Eda?
 
JokaKuu . Haya maswali yangekuwa relevant iwapo tu tungekuwa na mahakama za kweli na majaji competent. Yaani ukifuatilia hii kesi na ukisikia huyu Katuga anavyouliza maswali unajua kabisa hawa watu siyo wanasheria waliofuzu. Jaribu kufutilia ile kesi ya uhaini ya kina Uncle Tom unaone waendesha mashtaka na mawakili walivyokuwa wanapambana kwa hoja za kisheria na maswali relevant. Hivyo basi hii kesi ya Lissu mimi naona kila kinachofanyika sasa hivi pale mahakamani hakina influence yoyote na hukumu kwa sababu mwenye kutoa hukumu ni Samia. Hii kesi hata kama huna ufahamu wa sheria unajua kabisa kuwa hakuna uhaini hapa na muda na mali vinapotea bure.
 
akikata rufaa wataichelewesha, maana toka awali ni wazi kuwa nia yao ni kuendelea kumshikilia, maana si kwamba hawajui kuwa hakuna kesi ya msingi hapo,

Mungu wa mbinguni ni Mungu wa wanaoonewa siku zote

..Na wanavyoendelea kumshikilia ndivyo watu wanavyozidi kumpenda na kumuunga mkono.
 
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Wamehamia huko nje au watarudi ?
 
Halafu bahati mbaya Makamu wa RAIS Hana uzoefu na nafasi ya Urais.
Bado mchanga kabisa.
Huyo ndio Bado kabisa, ni sawa na wale darasa la kwanza wanaoanza shule aisee. Sidhani kama anaujasiri wa jambo lolote
 
Mhe. Lissu: Mhe. Msajili amenitaarifu kuwa Mashahidi wote watatu CDF, IGP na DCI walipelekewa wito wa mahakama Dodoma, hata hivyo haikuwezekana kuwaserve nakala za summons kwasababu wote watatu wapo nje ya nchi.
Kwaiyo wanajificha mpaka lini?
 

..100%.

..mawakili wa serikali ktk kesi ya uhaini wakina William Sekule, Johnson Mwanyika, Kulwa Massaba, George Mlawa, walikuwa makini sana ktk kesi ile.

..William Sekule baadae aliteuliwa kuwa Jaji Mahakama Kuu, na baadae Jaji wa Mahakama ya kimataifa ya mauaji ya Rwanda.
 
1. Rais, hayupo nchini yupo nje
2. CDF, hayupo nchini yupo nje
3. IGP, hayupo nchini yupo nje

Hii maana yake Nini?, lango liko wazi..nchi Haina mwenyewe wakati huu. Maadui wa nchi hawawezi kutumia mwanya huu kweli
Ukitaka kujua walipo, tangaza maandamano ya Katiba mpya kesho
 
Ukitaka kujua walipo, tangaza maandamano ya Katiba mpya kesho
😄😄😄😄Ndio njia ya kuwaludisha ofisini, alafu uwaambie ni vyama vya upinzani ndio wanataka waandamane🤣🤣...hata kama wapo msalani watakatisha haja na kutoka mbio kuamrisha bunduki ziwekwe risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…