Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Mashariki ya kati: IDF ilituma zaidi ya ndege za kivita 100 Tehran kushambulia kambi za kijeshi zaidi ya 20

Israel katutia aibu sana sisi wafuasi wa kiboko ya wachawi maana hadi kufikia sasa hakuna hata kavideo kuonesha madhara ya vimondo vyao.

Nilichoshuhudia ni kwamba Air defense za Iran zilikuwa zinameza vimondo vya Mazayuni kama komodo anavyomeza mnyama yeyote kirahisi.

Halafu wanaume wa IRGC wakatoa video ya dhihaka wakiwa wanatafuta wapi lilipo shambulizi la Israel maana hakuna shambulizi lolote linaloonekana Iran. 😅😅
🤣Wafuasi wa buludoza ni lazma mlie tu maana Air defense ya muajemi kumbe ndio iko stable by 100%... Imekuwa suprise sana maana walitegemea wangeshusha vimondo vya kutosha.

Sasa awamu inayofata mfuga ndevu ameahidi kuwashushia wazayuni boloconi 1000 ili waseme nazo.
 
Mossad wapo kila kona iran
Kama kungekuwa na madhara video zingeonekana
Ni kama shambulizi lililopita lilijaa propaganda

Aibu kwa irani ni kwamba ndege ziliingia kwenye angalao na hawajazishusha.
Na kwa israel ndege zimeingia iran lakini mabomu hayajafanya madhara
Mimi jana nilikuwa juu ya paa hapa Tehran na sijaona lolote 😁! Huenda Israel wakawa wanaota juu ya kushambulia Iran
 
Back
Top Bottom