Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

Rudia tena kwa sauti
 
Bhangi ni mbaya sana
 
Baba anatakiwa awe na power of handling everything, sasa huyu baba anaunganisha nguvu za majirani ni baba gani huyo?.
Sasa hao majirani si ndio wamemzunguka adui sasa hizbullah peke yake angepewa order aichukue Golan anaichukua asubuhi na mapema na wanajiita tu hizbullah lakini ndani yake unawakuta iranian elite force humo humo wanasikilizia tu wanabehave kama jirani ila mtiti ukiwa mtiti wanasehemu ya kuanzia wewe unadhani muarabu wa gaza amewezaje kusimama uwanja wa vita 7 month hadi leo kama sio misaada ya kutosha .
 
Muhamad alikuwa na wake saidi ya 6 sasa atakuwaje shoga?
Labda ungemongelea paulo ambaye mpaka ana kufa hakuwahi kuiona mbususu.
Sio sita ni zaidi ya 11 maana kuoa na kuacha ndio ilikuwa zake. Ajabu wake wote hao kaacha kitoto kimoja tu cha kike Fatuma! Highly questionable!
 
Sio sita ni zaidi ya 11 maana kuoa na kuacha ndio ilikuwa zake. Ajabu wake wote hao kaacha kitoto kimoja tu cha kike Fatuma! Highly questionable!
Sasa shoga atawezaje kumiliki wake wote hao?
 
Siwa underate hezbolla , ila kusema wanaweza kuchukua gollan heights kirahis hivyo unawakuza sana. Si rahis kama unavyoandika kwenye keyboard
 
Watu wanajifariji tu lakin kitakacho mkuta Iran ni Mungu anajua amejaa kwenye kulengeo cha kati na cha mbele mazima,vita ni mbaya Mungu aepushe wasijibu mapigo.
 
Sina pressure mkuu. It was expected na Iran alijua miaka zaidi ya 10 nyuma kwamba hatarajii kutumia GPS kushambulia Israel. Nasubiri majibu ya Israel, haya mashambulizi ya Iran yamekuwa weak sana
Good nilihitaji tu maoni yako mkuu maana sijazoea kukukosa kwenye mada kama hizi, angalau wewe huwa unaandika Uhalisia hauko biased, nami nasubiria Israel ijibu na ikijibu watu wasianze mayowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…